Kang kin
Senior Member
- Mar 21, 2017
- 154
- 122
Amani ya Bwana iwe nanyi.
Niende moja kwa moja katika mada, nimetafakali sana mstakabali wa siasa za nchi hii hususani kinyanganyiro 2020 ni dhahiri wazi kabisa Watanzania wengi hawana mbadala pamoja na kelele zilizopo. Kwa sasa hakuna mpinzani wa Magufuli na 2020 kwa hali ilivyo kuna uwezekano Magufuli akapata ushindi wa kihistoria wa asilimia 91.5%.(MTAZAMO WANGU)
Niambie kwa mtazamo wako unadhani kwa uzalendo alionao Magufuli na upendo walionao watanzania kwa Magufuli atapata asilimia ngapi?
Tililika hapa