Ushindi wa Rais Magufuli 2020

Magufuli atapata Asilimia ngapi?

  • 50%

  • 60%

  • 70%

  • 80%

  • 91.5%

  • 100%

  • 41.788%

Results are only viewable after voting.

Kang kin

Senior Member
Mar 21, 2017
154
122
Amani ya Bwana iwe nanyi.

Niende moja kwa moja katika mada, nimetafakali sana mstakabali wa siasa za nchi hii hususani kinyanganyiro 2020 ni dhahiri wazi kabisa Watanzania wengi hawana mbadala pamoja na kelele zilizopo. Kwa sasa hakuna mpinzani wa Magufuli na 2020 kwa hali ilivyo kuna uwezekano Magufuli akapata ushindi wa kihistoria wa asilimia 91.5%.(MTAZAMO WANGU)

Niambie kwa mtazamo wako unadhani kwa uzalendo alionao Magufuli na upendo walionao watanzania kwa Magufuli atapata asilimia ngapi?
Tililika hapa
 
Watu wa majalalani mnashida sana.....
 
Watakaojiandikisha kupiga kura watakuwa milioni 16. Watakuwa milioni 16 kwa kuwa uboreshaji wa daftari haujafanywa kwa miaka 3 iliyopita.

Watanzania watakaokwenda kupiga kura watakuwa milioni 8, kutokana na vitisho vya upigaji kura vitakavyoanza kwenye uchaguzi wa serikali za mtaa mwaka 2019.

Siku ya kupiga kura kwa ajili ya kuwepo polisi wengi kulinda uchaguzi watu miliono moja na nusu watapungua kwa hasira, na kura 500000 zitaharibika.kwa hiyo kura halali zitakuwa milioni 6 za wanachama watiifu.

Kwa hiyo kura zitakuwa 37%ya waliojiandikisha ambayo ni sawa na 10% ya watanzania wote wanaokaribia mil 58. Asante
 
Atashindwa ila watapora ushindi,tume itaamua ameshinda ngapi siyo wapiga kura , we mleta mada nenda zako na unafiki wako
 
Weka na asilimia za Polisi-CCM pamoja na wasimamizi wa Tume-CCM ya uchaguzi ambao hata Mahakama Kuu imewakataa.
 
Amani ya Bwana iwe nanyi.

Niende moja kwa moja katika mada, nimetafakali sana mstakabali wa siasa za nchi hii hususani kinyanganyiro 2020 ni dhahiri wazi kabisa Watanzania wengi hawana mbadala pamoja na kelele zilizopo. Kwa sasa hakuna mpinzani wa Magufuli na 2020 kwa hali ilivyo kuna uwezekano Magufuli akapata ushindi wa kihistoria wa asilimia 91.5%.(MTAZAMO WANGU)

Niambie kwa mtazamo wako unadhani kwa uzalendo alionao Magufuli na upendo walionao watanzania kwa Magufuli atapata asilimia ngapi?
Tililika hapa
Tunataka Tume Huru ya Uchaguzi
 
Hii asilimia 91.5 sijui umeipataje na mbona isiwe 100?
 
weird choice of numbers, umezipata wapi hizo asilimia? au tayari mmeshaanza mikakati ya kuiba na kufix matokeo?
 
Ushindi wa Saddam Hussein wa aslimia 100 pamoja na ukubwa wote nchi ya Iraq unamuhusu,kwa kuwa hata karatasi moja ya kupigia kura haitaharibika, kura zote za hapana na kura za ndiyo zote zitakuwa za ndiyooooo.
 
Back
Top Bottom