Ushindi wa kishindo kwa wawakilishi zanzibar!!

tikatika

JF-Expert Member
May 6, 2011
2,330
4,119
Naomba kujua idad ya kura walizopata wawakilishi ikiwezekana na za madiwani , nataka kuona ccm ilivyoshinda kwa kishindo!!
Nataka tutunze record ya ushind wa kishindo kama wa 91% za Shen.

Utakuta diwan kapata kura 5 ya Kwake mke na watoto kawa mshind kwa 95% mbunge kapata kura 150 ikawa 87% za ushind.
ccm wanakubalika sana pemba!!
 
Teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeeh, huo ndio ushindi wa kishindo kwa mwana ccm
 
Zamaaani kipindi hiki cha Pasaka kulikuwa na michezo ya Pasaka. Timu zilikuwa zinatoka Tanganyika zinakwenda Zanzibar kushiriki michezo vivyo hivyo kwa Zanzibar kuja Bara msimu unaofuata. Naona hili limekufa tupo kwenye ligi ya ubishi wa uchaguzi. Ligi yenyewe haijulikani mwisho, na kila mtu ni mshindi, ngoja tuone hizi raha za vita ya maneno katika hii Pasaka. Sie tulizoea raha ya kujuliana hali na kutakiana heri huku tukitaniana 'chenga twawala'.
 
1458978522206.jpg
 
Ushindi ni ushindi tu
Hizo Asilimia hupatika kwa idadi halisi
Hata zikiwa kura 2
 
Back
Top Bottom