Ushindi wa kishindo kwa CCM katika majimbo ya Kinondoni na Siha

Developer IOS

JF-Expert Member
Jun 20, 2017
1,457
1,409
fb_img_15169640249459324-jpg.684805
Habari wanabodi,
Katika kipindi hichi cha uchaguzi nimeamua kupiga kambi katika jimbo la kinondoni mitaa ya kijitonyama ili kuangalia hali ya kisiasa inaendaje kwa lengo la kujifunza kupitia kampeni za wagombea wote na mawazo ya wananchi.Kikubwa nilichogundua ni jinsi gani wananchi wanavyofurahia na kukubali utendaji mkubwa wa serikali ya awamu ya tano.

Utendaji uliotukuka wa serikali pendwa ya awamu ya tano ni kielelezo tosha cha ushindi mkubwa wa kishindo utakaopatikana katika majimbo mawili.Katika pita pita zangu na kubadilishana mawazo na watu nimegundua njia nyeupe kwa mtulia kwenda kuwatumikia tena wanakinondoni.Wanakinondoni wanamkubali sana huyu jamaa kwa utendaji wake wa kazi .

Kwetu sisi ushindi ni lazima
 
Habari wanabodi,
Katika kipindi hichi cha uchaguzi nimeamua kupiga kambi katika jimbo la kigamboni mitaa ya kijitonyama ili kuangalia hali ya kisiasa inaendaje kwa lengo la kujifunza kupitia kampeni za wagombea wote na mawazo ya wananchi.Kikubwa nilichogundua ni jinsi gani wananchi wanavyofurahia na kukubali utendaji mkubwa wa serikali ya awamu ya tano.

jimbo la kigamboni mtaa wa kijitonyamba- ila uchaguzi ni wa jimbo la kinondoni
 
Habari wanabodi,
Katika kipindi hichi cha uchaguzi nimeamua kupiga kambi katika jimbo la kigamboni mitaa ya kijitonyama ili kuangalia hali ya kisiasa inaendaje kwa lengo la kujifunza kupitia kampeni za wagombea wote na mawazo ya wananchi.Kikubwa nilichogundua ni jinsi gani wananchi wanavyofurahia na kukubali utendaji mkubwa wa serikali ya awamu ya tano.

Utendaji uliotukuka wa serikali pendwa ya awamu ya tano ni kielelezo tosha cha ushindi mkubwa wa kishindo utakaopatikana katika majimbo mawili.Katika pita pita zangu na kubadilishana mawazo na watu nimegundua njia nyeupe kwa mtulia kwenda kuwatumikia tena wanakinondoni.Wanakinondoni wanamkubali sana huyu jamaa kwa utendaji wake wa kazi .

Kwetu sisi ushindi ni lazima
Mafi lasima!! wakati tutakufa na mtu mkiiba tena haki ya nani! lazima wangese wa fisiem wazae!! tumechoka!!
 
Back
Top Bottom