Ushindi wa kishindo kwa CCM katika majimbo ya Kinondoni na Siha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushindi wa kishindo kwa CCM katika majimbo ya Kinondoni na Siha

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Masenu K Msuya, Jan 26, 2018.

 1. Masenu K Msuya

  Masenu K Msuya Verified User

  #1
  Jan 26, 2018
  Joined: Jun 20, 2017
  Messages: 1,306
  Likes Received: 1,209
  Trophy Points: 280
  [​IMG] Habari wanabodi,
  Katika kipindi hichi cha uchaguzi nimeamua kupiga kambi katika jimbo la kinondoni mitaa ya kijitonyama ili kuangalia hali ya kisiasa inaendaje kwa lengo la kujifunza kupitia kampeni za wagombea wote na mawazo ya wananchi.Kikubwa nilichogundua ni jinsi gani wananchi wanavyofurahia na kukubali utendaji mkubwa wa serikali ya awamu ya tano.

  Utendaji uliotukuka wa serikali pendwa ya awamu ya tano ni kielelezo tosha cha ushindi mkubwa wa kishindo utakaopatikana katika majimbo mawili.Katika pita pita zangu na kubadilishana mawazo na watu nimegundua njia nyeupe kwa mtulia kwenda kuwatumikia tena wanakinondoni.Wanakinondoni wanamkubali sana huyu jamaa kwa utendaji wake wa kazi .

  Kwetu sisi ushindi ni lazima
   
 2. D

  DomieLe JF-Expert Member

  #2
  Jan 26, 2018
  Joined: Sep 1, 2016
  Messages: 791
  Likes Received: 744
  Trophy Points: 180
  jimbo la kigamboni mtaa wa kijitonyamba- ila uchaguzi ni wa jimbo la kinondoni
   
 3. k

  kigogo warioba JF-Expert Member

  #3
  Jan 26, 2018
  Joined: Jul 11, 2015
  Messages: 3,117
  Likes Received: 2,860
  Trophy Points: 280
  hivi kule davos, uswizi ni nani katuwakilisha.!? plz!
   
 4. mangikule

  mangikule JF-Expert Member

  #4
  Jan 26, 2018
  Joined: Jun 11, 2012
  Messages: 3,326
  Likes Received: 1,364
  Trophy Points: 280
  Mafi lasima!! wakati tutakufa na mtu mkiiba tena haki ya nani! lazima wangese wa fisiem wazae!! tumechoka!!
   
 5. Masenu K Msuya

  Masenu K Msuya Verified User

  #5
  Mar 12, 2018
  Joined: Jun 20, 2017
  Messages: 1,306
  Likes Received: 1,209
  Trophy Points: 280
  Mkuu time imekwambia
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...