minda
JF-Expert Member
- Oct 2, 2009
- 1,068
- 64
kama mashabiki wa jk walisherehekea ushindi wake kwa sbb tu aliwashinda akina dk ws na wenzake, basi ninaweza kusema walifaidi unono huo kwa 100%.
ni ukweli usiopingika kwamba sekunde ya kwanza ya kuapishwa kwa jk, imekuwa sekunde ya kwanza ya mfumuko wa bei nchini.
wakati nawauliza wakuu mnipe sababu za kitaalamu za mfumuko wa bei nchini kufuatia zoezi tajwa, nawauliza mashabiki wa jk/ccm kwamba ni sbb gani hasa iliyofanya washerehekee kwa mbwembwe zote hizo huku wakifumbia macho au wakinywea kwa mfumuko mkubwa wa bei uliotokea masaa chini ya 100 yaliyopita?