Ushindi wa CHADEMA Daraja mbili (Arusha) ni salaam kwa Lowassa

ukweli ni kwamba mgomea aliyepitishwa kugombea udiwan daraja mbili ni kambi ya kina rz ,membe,mary chatanda na kna sta ndio maana akna mwalusamba walikuwa wanapambana kuwafuraisha mabosi wao Lowasa hakujishughulisha na huo uchaguzi wa udiwan so lowasa alkuwa busy na uchaguz wa chama kwa taarfa za wanaccm arusha...na kumbuka hawa ni maadui wa lowasa ndio waliogoma kumtambulisha ata kwenye kikao hvyo alitaka wajue bila yeye arusha hakuna ccm...napta
 
natamani nikutukane lakini naogopa ban!lakini kifupi huna ubongo maana nikisema huna akili nakupendelea; wewe una kolgeti kichwani! Udiwani daraja mbili na lowassa kuna uhusiano gani? Kwa nini usijiulize inakuwaje chama chenu kinashinda arusha tu?

inawezekana we ni product ya magamba, subirini kiama chenu kinakuja. Hata hivo we ni lizee.
 
Natamani nikutukane lakini naogopa BAN!Lakini kifupi Huna UBONGO maana nikisema huna akili nakupendelea; Wewe Una KOLGETI Kichwani! Udiwani Daraja Mbili na LOWASSA kuna Uhusiano gani? Kwa nini usijiulize inakuwaje chama chenu kinashinda Arusha tu?

Mbona una hamaki sana akitajwa Lowasa? Au wewe ni SS aliyesema kuwa Lowasa ni mwanaume wa shoka?
 
nani kakuambia lowasa anawaza level ya udiwani? inaonekana umesoma vyuo vya kata, mwisho wako wa kufikiri ni kata!! ndio maana unaleta ishu za udiwani kucompare na lowasa. au siku haipiti vizuri bila kutaja lowasa?:confused2:?

Wewe ni mahiri sana kurusha vijembe na mipasho (Sofia Simba type) lakini unaelekea huna uzamivu katika political mathematics and acrobatics!

Ni hivi kaka: unapolitafuta jimbo shurti ujiimarishe kwenye vijiji, kata na tarafa kinyume na hivyo; CAPITAL O! kama na EL anatumia ushauri wako basi kaula wa chuya na Daraja mbili is a loud and clear message to you all.
 
Wewe ni mahiri sana kurusha vijembe na mipasho (Sofia Simba type) lakini unaelekea huna uzamivu katika political mathematics and acrobatics!

Ni hivi kaka: unapolitafuta jimbo shurti ujiimarishe kwenye vijiji, kata na tarafa kinyume na hivyo; CAPITAL O! kama na EL anatumia ushauri wako basi kaula wa chuya na Daraja mbili is a loud and clear message to you all.
subiri 2015
 
Kwa taarifa tu ni kwamba uhai wa chama unaanzia katika mashina, vitongoji, kata, tarafa, hadi ngazi za juu!!! Kushinda kwa udiwani ni signal tosha kwa SSM!!! Rais atashinda tu pale uhai wa chama chake unakuwepo katika ngazi za chini (micro) ambazo kwa pamoja (macro) zinaleta ushindi wa nchi nzima!!!! Pole kwa yule anayefikiri kuwa kushindwa kwa udiwani SSM hakuna impact kwa ushindi wa urais!!! Hapa ni kujibembeleza mwenyewe tu!!!
 
Back
Top Bottom