Ushindi wa CHADEMA Daraja mbili (Arusha) ni salaam kwa Lowassa

nani kakuambia lowasa anawaza level ya udiwani? inaonekana umesoma vyuo vya kata, mwisho wako wa kufikiri ni kata!! ndio maana unaleta ishu za udiwani kucompare na lowasa. au siku haipiti vizuri bila kutaja lowasa?:confused2:?

Ficha upumbavu wako,usifiche hekima yako!!!
Wewe hujui umuhimu wa chaguzi za ngazi za chini,ila wenzako tunao jua tuna kila sababu ya kupongeza CDM na kumuhurumia Lowassa kwa mpango wake ulio feli!
 
Natamani nikutukane lakini naogopa BAN!Lakini kifupi Huna UBONGO maana nikisema huna akili nakupendelea; Wewe Una KOLGETI Kichwani! Udiwani Daraja Mbili na LOWASSA kuna Uhusiano gani? Kwa nini usijiulize inakuwaje chama chenu kinashinda Arusha tu?
Mkuu hili tatizo si la kwako peke yako, ni la wengi sana na pengine watanzania walio wengi. Kwamba wakishindwa tu basi hukimbilia kuwaona walioshinda kama hawana lolote na ushindi wao si chochote. Pole, unajilisha upepo na kujifariji bure mkuu.
 
nani kakuambia lowasa anawaza level ya udiwani? inaonekana umesoma vyuo vya kata, mwisho wako wa kufikiri ni kata!! ndio maana unaleta ishu za udiwani kucompare na lowasa. au siku haipiti vizuri bila kutaja lowasa?:confused2:?

Unapakatwa na fisadi papa E L
 
nani kakuambia lowasa anawaza level ya udiwani? inaonekana umesoma vyuo vya kata, mwisho wako wa kufikiri ni kata!! ndio maana unaleta ishu za udiwani kucompare na lowasa. au siku haipiti vizuri bila kutaja lowasa?:confused2:?

Mapovu ya nini mkuu? Lowassa alitangaza na kujigamba kuwa muda wa ccm kuonewa Arusha umekwisha, na watarudisha kila kiti ndani ya mkoa wa Arusha. Daraja 2 ni salamuuu tuuu kwake kuwa ccm Arusha imekwishney.
 
kwa kuwa tunajadili ushindi wa madiwani wa kata itakuwa wenda wazimu kama tutaulizana nani kashinda uraisi wakati uchaguzi wenyewe ni wa madiwani. do right thing at a right time!

inamaana siasa za Tanzania (CCM & vyama vya upinzani) bila kutaja Lowasa siasa haijakamilika? it seems lowasa is very strong in Tanzania
 
Mapovu ya nini mkuu? Lowassa alitangaza na kujigamba kuwa muda wa ccm kuonewa Arusha umekwisha, na watarudisha kila kiti ndani ya mkoa wa Arusha. Daraja 2 ni salamuuu tuuu kwake kuwa ccm Arusha imekwishney.

inaonekana Lowasa ni zaidi ya yeyote CCM, na ni nizaidi ya yeyote upinzani,na ni zaidi ya existing president, haiwezekana awe top coverage daily
 
Ama umelewa au wewe ndio product ya shule na vyuo vya kata (incidentally credit ya kuanzishwa kwake ni ya mwizi lowassa unaempigia debe shamelessly). Usiposhinda kwenye kata utashindaje jimboni? Kwani wapiga kura wa jimbo hawatoki kwenye kata?

inaonekana Lowasa ni zaidi ya yeyote CCM, na ni nizaidi ya yeyote upinzani,na ni zaidi ya existing president, haiwezekana awe top coverage daily.kwani amekuambia anagombea Urais? wewe na wenzako vichwa vimejaa kolgeti na sio ubongo
 
rudi facebook kwa watoto wenzako uongozi unaanzia nazi ya chini mpaka ngazi ya juu hakuna uongozi wa ngazi yajuu usio kuwa na ngazi ya chini huo uongozi utakuwa ujakamilika

ficha ujinga wako mfukoni

inaonekana Lowasa ni zaidi ya yeyote CCM, na ni ni zaidi ya yeyote upinzani,na ni zaidi ya existing president, haiwezekani awe top coverage daily.kwani amekuambia anagombea Urais? wewe na wenzako vichwa vimejaa kolgeti na sio ubongo
 
kwa hiyo umeshindwa kabisa kulink matokeo ya drj 2 na harakati za lowassa.
Punguza jazba jibu hoja kwa hoja!

inaonekana Lowasa ni zaidi ya yeyote CCM, na ni ni zaidi ya yeyote upinzani,na ni zaidi ya existing president, haiwezekana awe top coverage daily.kwani amekuambia anagombea Urais?
 
Natamani nikutukane lakini naogopa BAN!Lakini kifupi Huna UBONGO maana nikisema huna akili nakupendelea; Wewe Una KOLGETI Kichwani! Udiwani Daraja Mbili na LOWASSA kuna Uhusiano gani? Kwa nini usijiulize inakuwaje chama chenu kinashinda Arusha tu?

we akili zako ziko makalioni nafiri,fwatilia uchaguzi huu wa udiwani then uangalie km CDM kimeshinda arusha tu...
 
Natamani nikutukane lakini naogopa BAN!Lakini kifupi Huna UBONGO maana nikisema huna akili nakupendelea; Wewe Una KOLGETI Kichwani! Udiwani Daraja Mbili na LOWASSA kuna Uhusiano gani? Kwa nini usijiulize inakuwaje chama chenu kinashinda Arusha tu?
Sizitaki mbichi hizi. Ni kweli, wewe ndiye una akili maana CDM imeshinda pia Ludewa ila wewe kwenye Jiografia yako, Kinenekejo na Magamba wote mnadhani Ludewa pia ni Arusha! STUPID!
 
inaonekana Lowasa ni zaidi ya yeyote CCM, na ni nizaidi ya yeyote upinzani,na ni zaidi ya existing president, haiwezekana awe top coverage daily.kwani amekuambia anagombea Urais? wewe na wenzako vichwa vimejaa kolgeti na sio ubongo
Hapana, ila wewe ndio kakuambia kuwa hagombei Urais! Pambaf!
 
Natamani nikutukane lakini naogopa BAN!Lakini kifupi Huna UBONGO maana nikisema huna akili nakupendelea; Wewe Una KOLGETI Kichwani! Udiwani Daraja Mbili na LOWASSA kuna Uhusiano gani? Kwa nini usijiulize inakuwaje chama chenu kinashinda Arusha tu?

Bila shaka mtoaji wa uzi huu anaonyesha furaha aliyonayo kwa ushindi huo. Mengine yote ni matokeo tu ya furaha yake.
 
Halafu we PUMBAFU yaani unajiunga leo na kupost Utumbo wako? Au ndo uliyekwidwa Lumumba Jana? Majeraha ya SIASA ni hatari sana! Moderators, msiruhusu JF iwe sehemu ya kuombolezea!
Mgeni hapokelewi kwa matusi, tunatakiwa tumuelimishe na kumpa utaratibu. Kweli hatuwezi kumpima Mh Lowassa kwa kata moja ya udiwani. (sawa na kufananisha pipa moja la maji katika bahari)
 
nani kakuambia lowasa anawaza level ya udiwani? inaonekana umesoma vyuo vya kata, mwisho wako wa kufikiri ni kata!! ndio maana unaleta ishu za udiwani kucompare na lowasa. au siku haipiti vizuri bila kutaja lowasa?:confused2:?

Kwani ni kipi ambacho hukumwelewa katika maelezo yake? Kwani Lowasa huwa anakwenda kunadi mgombea wa chama gani? ni wapi amelinganisha? uwe unapata japo muda kidogo wa kutafakari kabla hujarusha shutuma zisizokuwa na mashiko au umetumwa, uko kazini?
 
Back
Top Bottom