Elections 2010 Ushindi wa CCM Tarime wazua kizaazaa...

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,422
911,172
Kulingana na ITV CCM wameikomboa Halmashauri ya Tarime kwa kupata viti 18 vya madiwani na kuna vurugu kubwa huko. Vipo viti 30 tu............Ubunge na uraisi bado kutangazwa.........
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom