Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,172
Kulingana na ITV CCM wameikomboa Halmashauri ya Tarime kwa kupata viti 18 vya madiwani na kuna vurugu kubwa huko. Vipo viti 30 tu............Ubunge na uraisi bado kutangazwa.........

Jimbo la mhimu sana hili aisee.Litarudi chadema bila shaka,