Prodigal Son
JF-Expert Member
- Dec 9, 2009
- 1,068
- 711
Wana JF
Nivema tukaainisha mbinu Chafu CCM ilizotumia na hatimaye kujitangaza washindi, Hii itasaidia kuwapa picha halisi wale wote wanaopongeza ushindi wa CCM na kubeza wapinzani,,,Naamini Upinzani imara ni chachu ya maendeleo husussani kwa taifa changa kama Tanzania
Kwa kuanzia

- Walitumia vyombo vya habari vya uma,, TBC, HABARI LEO na daily news kujinadi na kuwachafua wagombea wengine,
- Walitumia Ndege za Serekali, magari kwa kubadilisha number kwa ajili ya kujinadi
- Waliwalazimisha wakuu wa wilaya, Mikoa, na taasisi nyingine kuhakikisha CCM inashinda kwenye maeneo husika:
- Walitumia makampuni binafsi ya Simu kinyemela kwa kusambaza ujumbe uliokuwa na nia ya kuwachafua washindani wengine,
- Walikusanya pesa kwa watumiaji wa simu za mikononi bila ridhaa yao
- Walitumia umaskini na uelewa finyu wa watanzania wengi kwa kutoa ahadi ambazo hata miaka 20 hawataweza kuzitekeleza
- Walitumia vibaya yombo vya dola
- ..
- ,,,