UShindi wa CCM Igunga ndo tiketi Ya LOWASA 2015

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Katika nchi hii kila kitu kinawezekana watu walifikiri
Rostam akiondoka ndo wananchi wanaichukian ccm
sasa hivi wananchi wanaipenda ccm igunga kama baba
na mtoto,
Huu mwaka ni wa neema kwa LOwasa kama CCM itashinda
igunga basi LOWASA NDO RAIS 2015
 
Nice pit-latrine!
1_gh26644.jpg
 
katika nchi hii kila kitu kinawezekana watu walifikiri
rostam akiondoka ndo wananchi wanaichukian ccm
sasa hivi wananchi wanaipenda ccm igunga kama baba
na mtoto,
huu mwaka ni wa neema kwa lowasa kama ccm itashinda
igunga basi lowasa ndo rais 2015

nakuunga mkono sana jeykey..haijalishi ccm imeshinda au haijashinda lowassa ni raisi ajayeeee watake wasitake ila cdm tutaongeza viti vya wabunge wa kuchaguliwa kitu amabcho sio kibaya kwa nchi ya democrasia kama hii yetu tanzania
 
Katika nchi hii kila kitu kinawezekana watu walifikiri
Rostam akiondoka ndo wananchi wanaichukian ccm
sasa hivi wananchi wanaipenda ccm igunga kama baba
na mtoto,
Huu mwaka ni wa neema kwa LOwasa kama CCM itashinda
igunga basi LOWASA NDO RAIS 2015

Unafikiri jinsi ilivyochakachuliwa hukumu ya Dowans ndivyo utavyokuwa urais basi hizo ni ndoto za mchana kabisa. Akiwa Lowassa tu, CCM itakuwa kama kumsukumu mlevi, nami naomba mfanye kosa hilo kama mlivyofanya kwenye kura za maoni zikaishia kuwatafuna.
 
MS huwa inategemea ameakaje siku hiyo. Ila naona amenyong'onyea sana siku hizi.
 
Ajabu kama kuna watu wanamqualify Huyu ndugu yetu kuwe mgombea wa Urais.. Hivi tunafikiri kweli? Tuna kumbukumbu nzuri kweli Jamani?.. Nadhani ingefaa watu kma hawa wakachekiwe na Psychiatrist please...
 
PJ umechana live bila chenga.
Dah leo kibwana dachi ndani ya magic FM amenifungua masikio kuhusu EL.
 
Anamfikiria Lowassa kuongoza nchi hii anafikiri kwa masaburi stail, huwezi kushadadia mwizi kuongoza nchi hii.Kwanza hiyo ya Igunga ni wizi wa kura na matumizi mabaya ya vyombo vya serikali.
 
nakuunga mkono sana jeykey..haijalishi ccm imeshinda au haijashinda lowassa ni raisi ajayeeee watake wasitake ila cdm tutaongeza viti vya wabunge wa kuchaguliwa kitu amabcho sio kibaya kwa nchi ya democrasia kama hii yetu tanzania

huyo yeroo kapona
himizeni afya itengamae
asijeanguka hovyo
kama nanihii!!!
 
anamfikiria lowassa kuongoza nchi hii anafikiri kwa masaburi stail, huwezi kushadadia mwizi kuongoza nchi hii.kwanza hiyo ya igunga ni wizi wa kura na matumizi mabaya ya vyombo vya serikali.

naona haojamaa wanaoanzishaga uzi za lowasa wametumwa au wanatumia nazi si vichwa! Mpaka leo bado dhambi zake zinatuumiza af wao wanamshadadia pambav
 
Back
Top Bottom