Bwana katibu mwenezi wa CCM tafadhali naomba unieleweshe kitu kimoja tuu, ni nini ulikuwa mchango wako kwenye uchaguzi mdogo wa jimbo la Igunga?
Hakupewa nafasi, kadhalilishwa na viongozi wakuu.
Tatizo ni kuwa Nape hajui kuwa kadhalilishwa. Anajisifu kuwa ana mchango katika ushindi huo badala ya kutafakari kukatazwa kwake.
Nakuhurumia Nape.
Nape anadaiwa kufurahia ushindi kuliko mtu yeyote mwingine nchini kwa kuwa kushindwa kwa chama chake katika uchaguzi huo kungechangia kuongezeka sana kwa idadi ya wanaoona kichefuchefu kila anapoonesha uso wake. Hiyo kauli ya kuwataka watu waondoke chamani imemsababishia maadui wengi na wenye nguvu kuliko mimi na wewe tunavyoweza kudhania. Inawezekana hata JK mwenyewe anaboreka sana na kiherehere cha Nape lakini anaona noma kumtema mapema kwa kuwa pia ina impact kwa umaarufu wa chama na mwenyekiti wake.
View attachment 38434 UJUE NAPE HAKUKANYAGA KABISAAAAA IGUNGA.....(hapa akiwa sokoni Igunga siku mbili kabla ya kufungua kampeni Rasmi)
View attachment 38435"ukivaa nenda kashushe ile bendera yenye rangi ya damu Igunga is for CCM"... sawa kamanda soko lote hili Igunga tuna ijua CCM tu wengine hawa wananogesha harusi. rudi tarehe 03/10/2011 kuja kumchukua mbunge wa CCM
Mkuu Nnape hapa si ulienda Igunga kutoa pole tu tena kwa mujibu wa vyombo vya habari (gazeti fulani) vilisema ulienda huko bila ridhaa ya wakuu wako na ati Katibu Mkuu alikukemea? Mimi binafsi sikukusikia kwenye kampeni za Igunga. Labda utuambie hapa nini kilikusibu hadi usiende kueneza sera za Chama ukizingatia kuwa hapo ndipo hasa palikuwa pahala pake. Nilitegemea ungeenda kuwaeleza kuwa tumeanza kuvua gamba na kukitakasa Chama chetu upya kwa hiyo chagueni mbunge mpya.
Duh kumbe ulienda ukatia baraka, ukawaacha vijana wakafanya kazi kisha ukaenda kushangilia ushindi!! Hiyo nayo ni strategy tosha.
View attachment 38438MMEPOKEAJE KUJIVUA GAMBA IGUNGA?" Ooooh kamanda subiri tarehe 02/10/2011 kama hawajaondoka bila kuaga wala kulipia geusthouse walizolala>>>>>>>>> hahaaaa teh hahaa
tofauti uliyonayo na mzee yusufu makamba ni umri tu vinginevyote mnalingana.ujinga,akili,upumbavu ulopokaji ndo usiseme
Oooooh pole kumbe nawe imekugusa sana eeeh? Pole sana sana!!!! Si makusudi imetokea bahati mbaya si kukusudia wewe bahati mbaya umepitia hapa.....
Kwa hiyo we jini makata, kiroboto mchumamboga unataka kusema nini?Hivi magwanda hamna sera za kuongelea? kila kukicha Nape, Rostam, wamewakaa rohoni. Na Watanzania wanao wapa kura kwa kuongelea watu nawaonea huruma sana.
View attachment 38438MMEPOKEAJE KUJIVUA GAMBA IGUNGA?" Ooooh kamanda subiri tarehe 02/10/2011 kama hawajaondoka bila kuaga wala kulipia geusthouse walizolala>>>>>>>>> hahaaaa teh hahaa
Tumejua kweli ccm ni wezi wakubwa Wa kura ccm ndiyo mtaleta maafa Tanzania watu wakisha choka kuporwa haki zao.View attachment 38438MMEPOKEAJE KUJIVUA GAMBA IGUNGA?" Ooooh kamanda subiri tarehe 02/10/2011 kama hawajaondoka bila kuaga wala kulipia geusthouse walizolala>>>>>>>>> hahaaaa teh hahaa