ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,552
Striker Samata amedhihirisha kua yeye ni kati ya wachezaji bora wa 'mwezi' Wa Europa
Hongera stars Kwani Botswana kiwango chao ni bora
Hakika hii ni zawadi tosha kwetu Wa Tz na kwa aliyekua Waziri Wa michezo.