Ushindani Wa Vyama Vya Upinzani Dhidi Ya CCM umerudi Kuwa Wa Mpira Wa Kikapu

Trump2

JF-Expert Member
May 28, 2017
1,553
2,608
Matokeo haya ya seti 42 kwa CCM dhidi ya seti 1 kwa chama kikuu cha Upinzani tulishaanza kuyasahau, sasa yamerudi. Siyo dalili nzuri, kuna haja ya Makocha kufukuzwa ili waingie wapya. Coaches are hired to be fired'
Mashabiki shinikizeni.
 
Back
Top Bottom