Ushindani wa ligi kuu ya mpira wa miguu unatakiwa kuwa kama huu

tatum

JF-Expert Member
Jan 16, 2018
5,786
4,490
DywQmXwV4AIT0xB.jpg

huu ndo ushindani wa ligu unaonoga wa mpira wa miguu mmana hujui nani keshio atakuwa kileleni......wanacheza ligi zote Ligi kuu yenyewe,FA cap,UEFA Champion League ,Europa Cup lakini hakuna viporo kwa timu zinazoshiriki.ratiba iko sawa kabisa na inafuatwa vizuri sana.
 
Maisha ya Ulaya huwezi kufananisha na huku umasikinini...angalia Yanga wanasafiri masaa 15 kutoka Tanga kwenda Singida hakuna ndege alafu wanarudi masaa 15 tena Tanga...mikia wamerudi Misri kama mafungu ya dagaa
 
aiseeeeee.......hata siku moja tutakuwa kama ulaya
 
Maisha ya Ulaya huwezi kufananisha na huku umasikinini...angalia Yanga wanasafiri masaa 15 kutoka Tanga kwenda Singida hakuna ndege alafu wanarudi masaa 15 tena Tanga...mikia wamerudi Misri kama mafungu ya dagaa
Ndo ukweli mtupu, imagine kagera sugar wanapoenda kucheza mtwara, kiulaya ni nchi tatu unakua ushazipita, na wanamiundombinu bora, sasa Africka umbali wa Tz to Egypt sio mchezo, lazima usafiri kwa siku kadhaa, bara la Afrika ni kubwa na miundombinu ni duni,, hivo kiratiba hatuwezi kuwa kama ulaya, ni padogo na miundombinu ipo vizuri hivyo timu husafiri haraka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom