Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 36,765
- 83,903
- Thread starter
- #41
Sijui lolote kuhusu mikopo mkuu. Hii iwe kwa taasisi yeyote ya kifedha ama hata benki yeyoteNi taasisi gani za kifedha zinaweza kukopesha ila kwa collateral ambayo inahimilika kwa kijana ambaye yupo mtaani bila kua na mali kama ardhi, nyumba, shamba, gari n.k.