DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,291
- 29,485
Sijajua kwanini wanaachwa wafanye huo uharibifu. Sijui kwa kuwa kabila lao ni lile la yule mtukufu wa chattle.Ni kweli mkuu, niliambiwa wenyewe wanavamia eneo na kuanza kulifyeka bila kujulisha mamlaka. Kuna uoto wa asili wameuharibu sana. Kuna miti imeadimika sana kama vile mipingo, mivule, n.k. sehemu nyingi za nchi yetu lakini kule nimeikuta imejiotea hovyo hovyo tu...
Ila kusema ukweli kule kuna vyanzo vingi sana vya pesa...