Usher Feat. Young Jeezy - Love In This Club Video

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,545
817
Nimeambiwa kuwa bongo bado haipigwi sana kwenye clubs zenu

kama vile Lolipop and so on

[media]http://www.youtube.com/watch?v=ypvVXNY4CkY[/media]
 
Keri f----n Hilson is hot... All in all the video is alright kinda reminds me of Yeah!!..
NN, doesn't that club look like Velvet Room?
 
Ebana Keri Hilson anatokea Decatur where is greater!!
Kuna siku nilimuona pale Little 5 points....

Yeah usikute baadhi ya shots zilichukuliwa Velvet...
 
Ebanae Hotlanta kuna cuties sana, alafu uzuri wao bana hawaringi wala nini.Ukienda ile mitaa ya Justin's pale (dah memories)...

I read somewhere kuwa Tameka alikuwa kwenye video set all the time na at one point akampandishia Keri....

Brazameni, No comments!!!
 
Hahahahaha...Tameka yuko possessive sana...but I don't think it will last...

Kuhusu totoz...bwana weee....ratio kati ya totoz na njemba ni 11:1....totoz....yaani raha tupu!!!
 
Inabidi tufungashe tuamia marekani LOL..UK kila kila kona CHAVS and broke ass Polish girls!!LOL.. Vipotoriko sijui tutaviona wapi! LOL
 
Yeah....hamia Nyamwezi...
Kuna sehemu kibao zenye totoz bomba....South Beach, Venice Beach, Houston, ATL,....kila sehemu...coast to coast
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom