Ushawai tumia Google Translate? hebu jisomee hiyo Stori. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushawai tumia Google Translate? hebu jisomee hiyo Stori.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Bernard Rwebangira, Mar 29, 2010.

 1. Bernard Rwebangira

  Bernard Rwebangira R I P

  #1
  Mar 29, 2010
  Joined: Feb 15, 2009
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ajuza is between 90-100 years kubo has nyofolewa boast all the more his feet for two swords and the hospital is now being mahtuti.

  Ajuza he had experienced mkasa the weekend his home ward Ngerengere Sirari districts of Vientiane Inchugu Tarime district immediately.

  Region Commander Police Tarime / Rorya Costantine Massawe said that the incident happened March 27 this year and he has admitted Ajuza in Tarime District Hospital.

  claimed that the violence has done and resident of the village of Kubiterere whose name was not known immediately.

  Massawe Commander mkasa explaining the more the accused said he planned to attack the house of his grandmother and started The attack to ward Kumkata swords and leave him bleeding disorder with many crying for help,

  Commander Massawe said that the grandson of Mrs. she heard the cries of her grandmother for help and start Scream where the Neighbors came out immediately and were to pomtia hands and started beating him.

  suspect he was planning to cut down the belly to all bowels out.

  Sirari Center Police arrived they ever get to the center kumuokoa bring the accused to the hospital and Ajuza.

  suspect died on the same day and he still Ajuza lying ward number 6 for treatment of both his legs and injuries to the left.
   
 2. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  What?
   
 3. KUNANI PALE TGA

  KUNANI PALE TGA Senior Member

  #3
  Mar 29, 2010
  Joined: Feb 6, 2009
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  non sense...
   
 4. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #4
  Mar 29, 2010
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  wewe ulitegemea nini?
   
 5. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #5
  Mar 29, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,562
  Likes Received: 3,858
  Trophy Points: 280
  Haiko efficiency, google can do better kama tutakuwa nayo yetu wenyewe, yaani google Tanzania
   
 6. kuti kavu

  kuti kavu Member

  #6
  Mar 29, 2010
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 68
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  Kuna haja ya hawa google kutoa ajira kwa wabongo ili zoezi zima la kufasiri liwe chini ya usimamizi wa wabantu na sio kutumia 'softwares' zilizotengenezwa na wakina McMillan waliokulia Massachussets....
   
 7. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #7
  Mar 30, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  GOOGLE TRANSLATOR IS DOING A GREAT JOB.

  Hata wakipewa kazi waliobobea kwenye lugha ya kiswahili bado matatizo yatakuwepo.


  Pili haiwezi kuwa perfect sababu duhumi lake sio kutafisri kiswahili na kingereza pekee bali pika lugha nyingine. Na tunaelewa maumbo ya kisarufi na fasihii katika lugha ya kiswhalili ni tofauti la kiarabu na hivyo hivyo ni tofauti ka Kirusi na kibelgiji.


  Mpaka hapa naona inajithaidi sababu japo mtumiaji anaweza kujua context ya habari.

  Na kinachotakiwa wale tunajua kiswahili ni kuchangia na kutoa tasfsiri ya maneno yanayofaa na yaliyo sahihi. Inabidi tujiulize ni wangapi tumewai kusuggest maneno sahihi kwenye hii tool sababu It is open.
   
 8. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #8
  Mar 30, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Da.....
  Hili ni balaaa.
  Naona kama ilitakiwa ikae kwenye jukwaa la ucheshi,
  maana imenichekesha sana.
   
 9. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #9
  Mar 30, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  du hii kama zecomedy ya kenya hizi mbavu sina
   
 10. g

  geek Member

  #10
  Mar 30, 2010
  Joined: Feb 12, 2009
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  It will take time and effort to polish the product, tatizo mojawapo ni kwamba hakuna content ya kutosha ya kiswahili online kuwezesha algorithm ya google kupata meaningful translation.

  Sehemu nyingine kunatakiwa manual translation, mathalan, methali na misemo haviwezi kutafsiriwa na softaware kwa ufasaha.

  Kwa hiyo sisi waswahili pia inabidi tuweke content online, tu-digitalise archive za tafsiri ya English - Swahili / Swahili - English.
   
 11. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #11
  Mar 31, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mkuu, google Tanzania tayari ipo, www.google.co.tz
   
 12. Kilongwe

  Kilongwe JF-Expert Member

  #12
  Apr 1, 2010
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 424
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Kwa kulitambua hilo,Team nzima ya Afroit imekuletea uwanja mpya wa ICT Swahili,hii itatusaidia kukizoea kiswahili kwenye hii nyanja ya ICT,binafsi naona tatizo kubwa si misamihati bali ni mazoea,wengi wetu tumezoea kutokitumia kiswahili kwenye nyanja za sayansi na vinginevyo,wakati umefika sasa tuungane moja moja tutafika.

  Kwa uzoefu wangu niliokaa China,nimejifunza kuwa lugha mama ina mchango mkubwa mno kwenye elimu yoyote pia lugha za kigeni(English nk) ni za lazima kutokana na uhaba wa technology,hii ndio maana kwa China maclassmate wangu wote hawawezi kupewa cheti cha kumaliza hadi wawe na grade 6 ya english
  Nini nataka kumaanisha hapa,tujikite kuimarisha lugha yetu pia tushikirie lugha za kigeni ili kuweza kunyonya teknolojia toka nje.

  Kwa kushiriki kwenye kuendeleza ICT swahili gonga HAPA
   
 13. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #13
  Apr 1, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  hiyo sio kwa kiswahili tu, hata ukibadilisha kireno kwenda kiingereza pia ni mgogoro
   
 14. Kilongwe

  Kilongwe JF-Expert Member

  #14
  Apr 1, 2010
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 424
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Ni changamoto tosha mtazamaji,umefika wakati tuweke vichwa chini tufanye mambo.unaweza kutoa michango yako hapa

  http://blog.afroit.com/?p=69
   
 15. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #15
  Apr 1, 2010
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,066
  Trophy Points: 280
  You are right. It is almost impossible to automate translation perfectly. Lugha zinabadilika sana na utumiaji wa maneno upo so fluid kiasi kwamba inakuwa vigumu kupata perfect translator (machine).
   
 16. locust60

  locust60 Senior Member

  #16
  Apr 1, 2010
  Joined: Oct 1, 2008
  Messages: 102
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Tatizo la kubadilika kwa uhalisi uliyolengwa na mwandishi kwa kutumia electronic translator ikiwemo google linadhihirisha kuwa bado tunahitaji huduma ya mtu(human translation) na sio mashine ili kuwa na uhakika na tunachokiandika.Na hii si kwa kiswahili pekee hata lugha nyingine pia zinakubwa na tatizo hilo.Mashine inaweza kufuta maana ya karibu ya maneneo yaliyo tumika na sio lazima ikawa sahihi.
   
 17. MNDEE

  MNDEE JF-Expert Member

  #17
  Apr 1, 2010
  Joined: Jul 10, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  So google tena ni Topeka!
   
Loading...