Ushawahi zimikiwa na jiko la gesi ukiwa unapika?

Dah hizi nyuzi nyingine zinanikumbushia machungu, kuna muda mpaka najiuliza eti na mimi nitafanikiwa kimaisha ? iliwahi kukata ndio nataka kupika nyama, halafu nipike wali....ile nakaangiza kitunguu kitu kikakata, kilichofuta nilikula kitunguu cha kukaanga na maziwa ya Tanga fresh
 
Kuna siku nimekata nyanya vitungu karot na pili pil hoho vzur nmeweka kwny sahani kwa ajiri ya kuunga nmeweka mafuta kwny sufuri inachemka ghafla ges imekata afu mtung mkubwa nkaishiwa poz ikabid nmwage kila kitu jiko la mkaa nlikuwa sina
Nunua pressure cooker multi purpose ya umeme., Gesi ikikata unapikia huko.
 
Mimi hiyo siku nimepania wali nazi, samaki nazi...

Nimekuna nazi 3 nimechuja. Nimekatakata bamia na nyanya chungu...nimeloweka mchele...

Ile nimeweka sufuria tu ya mboga nianze kupika jiko likazima. Na nilikuwa na sh. 30,000 tu ya kunifikisha mwisho wa mwezi.

Nililiaaaaa........
Pole Zurie
 
Pole sana, hizi gesi zinaweza kukufanya ukala vitu vibichi.
 
Imeisha muda si mrefu hapa alafu nimetoka kuinjika maharage ya kukopa kwa Mangi. Akiba nina 1000 tu... hapa navizia watu walale nikaokote mbao nichemshe nje huko na moto wa kuni maana hali sio hali
Hahaaaaaaa kwa nini uvizie mkuu, kuwa huru okota tu
 
Nimejisikia vibaya kuuona huu uzi maana nilihonga bila kujua, ipo hivi Dem wangu alinikaribisha kwake weekend kuinjoy .sasa ilikuwa mchana anajipinda kunipikia kidume gas ikakata akaniangalia kwa huruma,akaita "mmewangu shetani mbaya amepeleka gas".

Nilimpa noti kadhaa akajaze. (UWABATA I'm sorry)
 
Nimejisikia vibaya kuuona huu uzi maana nilihonga bila kujua, ipo hivi Dem wangu alinikaribisha kwake weekend kuinjoy .sasa ilikuwa mchana anajipinda kunipikia kidume gas ikakata akaniangalia kwa huruma,akaita "mmewangu shetani mbaya amepeleka gas".

Nilimpa noti kadhaa akajaze .(UWABATA I'm sorry)
Hahaaaaaa pole sana
 
Mimi hiyo siku nimepania wali nazi, samaki nazi...

Nimekuna nazi 3 nimechuja. Nimekatakata bamia na nyanya chungu...nimeloweka mchele...

Ile nimeweka sufuria tu ya mboga nianze kupika jiko likazima. Na nilikuwa na sh. 30,000 tu ya kunifikisha mwisho wa mwezi.

Nililiaaaaa........
Kama ulilia itakua ulikua na kipre
 
Jamani gesi ni nishati inayorahisisha mapishi kwa haraka.

Ila ina kero yake jamani wakati ndio unapika inaweza isha ghafla na pengine kwa wakati huo huna hela ya kununua tena au unanunua mbali.

Unaanza hangaika na kuwasha mkaa nk.

Hebu tueleze ilikuwaje.

Kuna siku hili lilitokea nakumbuka nilikua napika kwa jiko la mkaa nje mvua ikanyesha nikazima moto kwa maji nikaamisha chakula ndani kwenye gesi mweeee!! 😅😅 Gesi dakika kadhaa kwishaaaa mvua inayesha mida umeenda pesa hakuna moto nimezima

Nilikoma
 
Jamani gesi ni nishati inayorahisisha mapishi kwa haraka.

Ila ina kero yake jamani wakati ndio unapika inaweza isha ghafla na pengine kwa wakati huo huna hela ya kununua tena au unanunua mbali.

Unaanza hangaika na kuwasha mkaa nk.

Hebu tueleze ilikuwaje.

Nna backup ya jiko la umeme plate moja....kabla nlikuwa natukana siku nzima, kifua kinajaa, hasira na jazba gesi ikikata na kitu hakijaiva.
 
Hii imenifanya ninunue plate nne moja ya umeme gesi ikiisha unahamia kwa umeme hapo vipii
 
Mie imekata jana bahati nzuri nilikua nimemaliza pika bagia zangu za kinda.maziwa walikua tayar wala sikupati tabu ..nawaza ninunue kimtungi kidogo cha dharula
 
Back
Top Bottom