Ushawahi potezana na mpenzi wako bila ya ugomvi?

Da Vinci XV

JF-Expert Member
Dec 7, 2019
3,837
6,372
Wasalaam

Kama kichwa kinavyojishulisha hapo juu wakuu

Miaka miwili hapo nyuma, 2018 , ilikuwa green city nlikutana na pini moja kali chotara ya kimwambao

Huyu mdada alikuwa mrembo kwelikweli, alikuwa na sifa zote isipokuwa sifa moja tu ambayo machotara na watoto hawa kiarabu wanaikosa WOWOWO tu alikosa sifa hiyo ila kila jema ambalo mwanamke yoyote mzuri alitakiwa kuwa nalo basi mola alimjalia ..akafanya nimcheat mpaka mpenzi wangu ambaye nlianza nae toka sekondari

Huyu chotara nliunganishwa na rafiki yake ambaye alikuwa chuo pale mzumbe (Mbeya) ambeye huyu alikuwa mshikaji wangu toka tuko manzabay si unajua sie wapwani twajuana kwa viremba binti akanikuwadia shost yake...basi baada ya kumtambulisha .., na kujua mie tumetoka mkoa mmoja manzabay/ tanga haikuniwia vigumu....mtoto ana ka kamkwanja , akipika mabiriani lazima yatue getho na alivyojaliwa mkono wa mapishi mashaallah

Akanifanya nisahau pisi zangu zote za bara mtoto wa watu wakipendaga hawana longolongo wale nikasema naoa pale hakika.....naye alizama haswa nakumbuka wakati tunatengana mkoa alijiliza mno na kuapa viapo tele..akatoa na vijizawadi mara ajichore mapiko ya jina langu

2020 nikaagwa anaelekea mombasa, hatukuwahi kuachana wala ugomvi wa chochote..., ila tangu siku hiyo mpaka kesho kutwa sjawahi kupata hata sms ya bahati mbaya.

Fununu nlizopata kutoka kwa yule rafiki yake wa Mzumbe ni kwamba yuko Oman japo na yeye hana mawasiliano naye

USHAWAHI KUPOTEZENA NA MPENZI WAKO PASI NA SABABU ILIKUWAJE???
 
Hii ndo siti nzuri kukaa, sas hapa naona kila comenti inayokuja shusheni vitu sas.
 
Mimi hakuwa demu wala Nani, Ila siku ya kwanza kureport form one nilimwona mdada mmoja, alinichangamkia nami nikavutiwa naye saana, sema nikawa siwezi kusema chochote kipindi hicho...,

Tulifuatana kila mahali Hadi kipindi cha dini tunakaa pamoja, tukaweka viti vyetu karibu darasani,,,

Lahaulaaaaaa, siku ameitwa ofisini mzazi wake amekuja, kumbe amekuja kuchukuliwa ahamishwe shule.

Mpaka kesho naliota jina lake, sikupata kumsikia tena, wala sikujua ni shule gan aliendaga.., nimeshagoogle sana, mpaka nikifungua Google inanianza yenyewe 'Are you looking for Siah R....?'
 
Nishaaachwa Sana aise.

Tatizo langu huwa sijichatishi kwa mademu zangu, huwa nikikaa kmy zinaniacha automatically..

Ila Amini usiamini ukimtia demu vizur hakuachi NG'O.

Yani ni vile hamutafutani Wala kuchat. Ila siku mkionana point3 muhimu.
 
😅😅😅😅umenichekesha mwishoni mkuu
 
Nishaaachwa Sana aise.

Tatizo langu huwa sijichatishi kwa mademu zangu, huwa nikikaa kmy zinaniacha automatically..

Ila Amini usiamini ukimtia demu vizur hakuachi NG'O.

Yani ni vile hamutafutani Wala kuchat. Ila siku mkionana point3 muhimu.
Kwahyo unasubiri wakutafute mkuu???
 
Back
Top Bottom