Ushawahi mkimbia mwanamke chumbani?

Ilikuwa mwaka 2013 ndo kwanza nimemaliza form 4 shule ya kata.

Nikaenda zangu Malawi apo mzuzu wabongo tunapendwa sana Malawi.

Basi nikajipatia kimwana, ukimwambia chachani pa bed fastar unapewa papuchi.

Kuingia gettho msichana ana mkuyenge nilikimbia sitosahau.
View attachment 792376
Kwani huyo uliyemuweka ni Mwanamke? Hili si Punga EJ Magic Johnson's son?
EJ.jpg
 
Kuna jamaa yangu mmoja alikimbia yeye, baada ya kupatana na demu walale mpaka asubuhi.

alipata demu fresh akapiga mzigo goli la kwanza akapata usingizi. Kuja kushtuka baadae akajikuta amechafuliwa yeye (hakuamini amini)

Jamaa akapiga mechi ya pili baadae kidogo akapata usingizi. Kuja kushtuka akajikuta amechafuliwa yeye (hapa aliamini kwamba tayari ameliwa)

Demu akamuuliza; baby umesema umelipia tunalala mpaka asubuhi
 
Kuna jamaa yangu mmoja aliopoa demu fresh, demu mkali sana..

Wakati wa maandalizi katika romance za hapa na pale jamaa akapeleka mkono kwenye K..akatest kuingiza kidole kimoja, cha pili, cha tatu, akamalizia vidole vyote (mkono) vimeingia.

Kwa mshtuko jamaa yangu mashine ilinywea, haikusimama tena.. Mwisho wa siku akasingizia ana njaa aende kununua chakula halafu waendelee baadae, hakurudi tena alikimbia moja kwa moja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom