Ushawahi kwuaza kwa lugha tofauti na kiswahili? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushawahi kwuaza kwa lugha tofauti na kiswahili?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by charminglady, Jul 11, 2012.

 1. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,858
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  heshima mbele wana CC, eeh bana katika utaratibu kwa shughuli za kila siku kila mtu nahisi huwa anapangilia mambo yake.
  Mfano: leo nitakwenda kazini nitafanya hiki na hiki nitaduri nitakwenda pale. basi juzi kati nilikuwa nataka kufanya kitu flani, nikajikuta natamka kwa lugha ya kwetu "hapa nimemaliza hii kazi sasa niende sehemu kutafuta msosi' NAOMBA USIULIZE NI LUGHA GANI NILITUMIA MAKE NIMEJARIBU KUANDIKA NAONA HAIELEWI, BORA NIACHE ILI NISIJE ANDIKA MATUSI.

  je wewe ushawahi kuwaza kwa kilugha either lugha ya kwenu ama lugha ya malkia aka Kiingereza???????????
   
Loading...