Avriel
JF-Expert Member
- Jun 25, 2017
- 4,947
- 5,342
Mimi ninazo hadithi tofauti buanaaa...
Kuna nilizopoteza na ambazo Mimi pia niliaminiwa mambo yakaenda kombo( hapa ukumbuke niliochukua pesa zao wananiita tapeli)
Biashara zina changamoto sana.
1. Tulianzisha mradi wa marafiki buana tukanunua shamba tukaweka mbuzi lakini marafiki hawakuwa wakienda shamba wao watoto wa mjini, wawili ndio tilikuwa shambaboy waaminifu. Tukatafuta soko la nyama nje ya nchi biashara ikawa nono sana...ikaja tokea tumetuma mzigo na pesa hazikutufikia haraka happy wanakikundi walitutukana sisi wawili na kutuita matapali wakubwa, wameshasahau miaka miwili tunafanya biashara kwa niaba ya kikundi na tunagawana faida sawa bila kutufikiria sisi tunaovolunteer fully time. Pesa zilichelewa takribani miezi sita kikundi kikavunjika na mifugo ilobaki shambani wanakikuundi wakaenda ibeba nasi tukaambiwa tufuatilie zile pesa ndio malipo yetu.
Tulilipwa baadae pesa nono na riba japo doa letu ikawa matapeli
Mpaka Sasa tuliendeleza lile shamba sisi wawili. Ila ukiwakuta marafiki zetu wanatusema sisi matapeli na Sasa wengine wanatuomba wajiunge tena.
2. Niliombwa na ndugu achangie mtaji kwenye biashara yangu, nikawaza sana nikamwambia changamoto ya biashara akakubali akaleta mtaji wake, biashara ikaenda vizuri miezi Kama 8 dah, soko likabuma kule nje, nikaona nikimwambia ndugu yangu biashara imebuma atavunjika moyo, nikawa naendelea kumpa gawiwo kutoka kwenye source nyingine tu huku nikibuy time soko lirudi mswano, aaahh ndugu si akaniomba mkwanja aende nje ya nchi, nikamwambia asubiri kidogo, bahati nzuri nikapata pesa nikamtumia aende huko nje. Later akanambia anahitaji tena pesa yake yote anaacha biashara ameshapata faida imemtosha.
Arooooo hapo nikawa sina mkwanja ila nawaza nimueleze ukweli au la. Nikiwa naaandaa point nimueleze zikapita siku mbili ukoo mzima unanipigia simu nimemtapeli mamdogo pesa. Ikabidi niwaeleze mkasa mzima, aunt akasema achana nae aje achukue pesa kwangu kwanza umemzalishia sana ila umekosea kutomwambia nyakati mbaya za biashara so anaamini unatengeneza pesa kwa pesa yake.
Ikabidi nibebe bank statement ya ile biashara nipeleke kwa wazee waamue. Haikusaidia maana mamdogo kakomaa kinoma. Bahati mbaya alikuwa na kadi ya gari langu na hati ya kiwanja changu, akatangaza kukiuza na akauza kiwanja gari akakosa mteja. Alipouza akaniwekea change kwenye akaunti, ikawa kesi ya ukoo akaambiwa arejeshe hicho kiwanja, Mimi nikawaaambia aachwe tu.
Anyway maisha yanaendelea nilisamehe nae ni mlezi wangu so niliona alijilipa kiaina.
3. Kuna rafiki alinifuata ana shida kubwa nimkopeshe pesa, sikuwa na pesa ila Nina pesa za michango ya harusi mbili nimeweka bank....nikashikwa huruma ikabidi nimkopeshe maana alisema atalipa baada ya wiki mbili na huo muda harusi itakuwa Bado. Dah siku ikafika na akashindwa rejesha pesa, nilikaribia kuzimia maana aibu ilokuwa inataka kunikabili sijui ningefanyaje..
Mungu mwema sana nikapata pesa bila kutarajia kutoka kwa jamaa nilikuwa namdai pesa zangu miaka Kama miwili hivi akanitumia mkwanja wote nikasolve .
Story zitaendelea za matukio ya kudai kudaiwa na kudhulumiwa...
NB: KUNA NDUGU YUMO HUMU NA MAMA YAKE WALISHIRIKIANA KUNISHAWISHI NIMTUMIE MAMA YAKE HELA ANINUNULIE SHAMBA MPAKA LEO WAMENIDHULUMU, MUNGU ANAKUONA WE NDUGU NAJUA UNAPITAGA KWENYE MAANDIKO YANGU NA UNALIKE KABISA.
KAMA KUNA MALIPO YA KUDHULUMU HAKI ZA WATU WEWE NDUGU NA MAMA YAKO NIONYESHENI SHAMBA LANGU SIO HAKI KWAKWELI.
HALAFU MNAENDA KANISANI KUSALI KABISA .
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app