Ushawahi kutapeliwa na rafiki yako wa karibu

Mtu akitaka kukopa pesa kutoka kwangu na ikawa ndani ya uwezo wangu yaani ile pesa ambayo hata akinirusha sio inshu sana hua namwambia afanye kitu kimoja rahisi,aniandikie msg khs ombi hilo huku nikimpa format ya hio msg.

Msg Inakua hivi, Mimi(anataja jina lake)__________ leo tarehe_______ nimekopa pesa kutoka kwa __________ kiasi cha Tsh ___________ kwa ajili ya_______ na naahidi kumlipa tarehe _______ na endapo nitashindwa kumlipa anichukulie hatua atakazoona ninastahili maana nakua nimekua tapeli sugu.

Then namwambia nitumie hio msg kwny SMS na Whatsap kama anayo pia halafu namtumia pesa hio kwa njia ya m-pesa kwenda kwenye No. yake ya simu(iliyosajiliwa kwa jina lake),hii njia hua inasaidia akizingua kabla sijaanza kumdai namtumia msg hio nikimwambia nadhani unakumbuka hii msg yako ukiniomba pesa.

Then baada ya hapo shughuli inaanza,kwa 90% msg hio imekua ikisaidia recovery ya videni vya hapa na pale lkn pia inasaidia sana mtu anayependa kupiga mizinga kutokukuomba hela kizembe zembe maana wanajua pale ni process.

Fanya hivi hata mtu iwe hela ndogo kama elfu 50,we mwambie tu format hii hapa copy kwny simu yako then nitumie ujumbe huo.

Na Hua sikopeshi kwa riba kwa sababu najua wengi wanaoniomba pesa ni kwa ajili ya kutatua matatizo yao ya hapa na pale na sio kwa ajili ya kufanyia mabiashara.
 
Mimi siju niseme nilitapeliwa au nilidanganywa hata sijui ikoje hii ila roho inaniuma mpaka leo.

Mwanzon mwaka huu nikiw nafanya kibarua kampuni X bos wangu alikua na friend wake ambaye naye anamiliki kampuni Y.Zote zinajihusisha na kandarasi za IT.Ikatokea tumezoeana sana na frnd ake bos mwenye kampuni Y.Ni kampuni sio kubwa snaa ni za kawaida tu.Kilichotufanya kuzoeana na mshkaji ni baada ya yy kugundua pale ofsn ndio nimekua na take charge ya mirad kuanzia kuomba tender mpaka execution.Bos yy ana deal na yale yalio nje ya uwezo wangu like zile tender za kupika mezan ambazo u need to utilize connection zako kwa washika dau walioko kwenye taasis zinazohitaji huduma ila hiz za ushindan mm ndio nakomaa nazo.

Basi bwana kwakua jamaa alikua ana tatizo upande huo hasa wa kuandaa competitive documents, hivyo kaz kwake ikawa ni za nadra nadra tu mpaka siku aliponitafuta.Akanieleza A to Z alichokua nataka nimsaidie.Ofcz i was no body kwenye kampuni yetu, kazi nying ila wako mshahara tu hata ufanye ku acquire mrad wa 300m.
Kipind ananitafuta nilikua napambana na miradi miwili ya taasisi moja ya serikali iko mikoa tofauti.Baada ya kunililia sana shida na kutoa ahadi za hapa na pale tukafikia makubaliano nimfanyie kaz ya ku apply bid same same nilizokua naziomba kupitia kampuni yetu.

Maneno yasiwe mengi , nikampigia kazi (ofcz kile nilichokifa ya kwa kampuni yetu X nikaki boresha zaid nikakitumia kwa kampuni Y ya mshkaji) kwa makubaliano kwamba akipata tender yangu ni 1M kwa kila mradi kama fee.Pia nita execute mwenyewe mwanzo mwisho (hapa kuna agreement ambazo nilimu ensure kua nitamsaidia ku maximize profit kwa ku lower expenses as nilikua na magumash zangu za ku access grey market so same products OG unazipata kw bei chee kwakua delears wana namna zao za ku kwepa taxes) .hapa tukawa n makubaliano ya kulipana kivingine so jumla ikaja kama 5m.

Mungu si athumani jamaa akaikwaa miradi miwili .ofcz haikua mikubwa Cz ilikua na grand total ya 79M.
E bwana eee toka hapo simu zikawa hazipokelewi.Nikaja kumpata kashamaliza miradi na kashalipwa.
Nadai changu (zile 2M sasa za kumpatisha miradi) akaanza stori mara bank accntza kampun alikua ame over draft mara nin sijui daah..nikaona isiwe shida inawezekana Mungu kaniadabisha maana mm nili snitch chama langu nikampa deal mdau mwingine ...naye kaniliza.Ila kwakifupi jamaa ni kama kanitapel maana mpaka leo ni stor ingawa ana kiri ninamdai na akipata atanipa ila mpaka na post hii mtanzania mwenzenu 0-0 .Roho huwa inaniuma sana.

NB.
Alivyomjinga sasa mwez uliopita akanitafuta nimjazie tena document..Dah..mjini akil nguvu kijijin

Tz hii wamiliki wa hivi vikampuni uchwara 95% ni matapeli sana,atadhulumu stahiki za wafanyakazi wake akitoka hapo atadhulumu suppliers wake mara atakopea asset 1 kwny bank 3 tofauti tofauti kwa kweli ni changamoto sana.
 
Uyo jamaa mbona simsomi yaan ana kampun alafu hawez kuprepare ata bid document ya tender au kuwasiliana na dealer
Hawa ndio wale unamkuta ofisin unakuta hata CV na ukichunguza elimu yke ndio utakimbia

Sasa kuna wakandarasi wenye makampuni wa hivyo kwa mamia nawajua yaani hata hizo docs hawajui cha kuzifanyia ila wanajua kutafuta watu wa kuwaandalia hizo docs na wanajua kula vzr na wakubwa/connections na miradi ya serikali wanaipata ya kufa mtu mkuu mpk ya mabilioni huko,ndio maana msomi atabaki kujua kuandaa docs(yaani anakua technician) wkt Mwenye Co. Yeye anakua entreprenuer(anafanya leverage kwa kumtumia technician) na mpunga wote atachukua yeye mwenyewe huku technician akipewa kiduchu.

Ukiwa unaweza kua na traits za technician+entreprenuership hamna cha kukuzuia mbele yako kutoboa,lkn tatizo wengi wanabaki kwny kua technician tu na kuishia kwny ajira siku imeishia hapo maana ujasiriamali ni risk taking/headache.

Sijaponda mtu yoyote hapa na shout out to all hustlers out there ingawa ndo hivyo matapeli yanatuzingua.
 
Mwaka 2012 rafiki wa kaka yangu ambaye alikuwa kama ndugu ,nilitumia kitambulisho chake kusajili line yangu ya voda ambayo ndio nilikuwa natumia kuhifadhia pesa.
Aliniibia simu na akawapigia voda eti amesahau namba ya siri hivyo akabadilisha pin number kwa kutumia kitambulisho chake na kiasi kama 200000/ ikawa imekwenda na maji.
Nashukuru mungu nilikwenda voda na nikapewa namba ya wakala ilipotolewa hiyo pesa na nikamfamu yeye ndio mwizi wangu,aliniomba msamaha nami nika mwachia mungu.
Daah kuna watu wana rohoo mbayaa sanaa khaa...!!
 
Kuna jamaa yangu wa karibu kanipigi cm tufanye biashara flani. Nikakubali kutokana na maelezo yake matam .nikarusha 2k.baada ya mda nikamuuliza biashara yetu vipi akatoa visababu wee,nikaona isiwe shida nikamsikilizia mpaka mda aliosema mambo yatakuwa sawa. Baada ya hapo nikampigia alinijibu kwa dharau na kejeri.niliumia sana .Siku moja hasira zilinipanda nikapanda gari kutoka tunduma mpaka songea kazini kwake.jamaa kuniona aliduaa kama sekunde 10.kisha akaomba tuongee yaishe nisimpeleke kwa boss wake,nikasema sio shida nipe changu nisepe.akaanza kuleta story za paka na panya,nikamwambia twende kwa boss wake.tukamkuta bos nikamwelekeza mwanzo mwisho,boss katoa Siku tatu nilipwe na kanipa namba yake if kukiwa kimya nimpigie,ck ya pili nikashangaa SMS ya m.pesa yote kama ilivyo,japo ya nauli hakunipa
 
2k ni elfu mbili mkuu...???
 
Mie huu Uzi umenitia machungu balaa...Kuna mdada mmoja mchaga ni shoga angu alikuja ana shida kubwa kias kwamba anakuhadithia Mimi nalia tu..bahata mbaya had baba angu anamfaham..anampenda Sana coz anajua Sana biashara...uwiii shoga kaniliza. Nna hasira naye..nashindwa nimfanyeje. Alafu Cha ajabu amekuwa mkali balaa kuhusu Deni ..had najiuliza kwann anakua mkali na huku ni hak yangu kudai...! Ile hela angezunguka koote asingepata ...Ila namwangalia tu...naogopa kwenda polisi hakuna nilipoandikishana na yeye. Sana Sana wanangu ndo walikua mashahidi navyompa hela..alafu polisi naskia anaweza sema anaweza sema atanilipa 10k kwakila mwezi..hapo nakua mdogo balaa...dah maisha haya!
Dah pole sana dada ake

sema nini embu Fanya nipate 450k kwanza

Bora tukopeshane wanyumbani tu

Nyumbani natoka saa 11alfajiri narudi SAA sita usiku; Mzee mwenye nyumba kanikalia vibaya.
 
Kuna jamaa yangu wa karibu kanipigi cm tufanye biashara flani. Nikakubali kutokana na maelezo yake matam .nikarusha 2k.baada ya mda nikamuuliza biashara yetu vipi akatoa visababu wee,nikaona isiwe shida nikamsikilizia mpaka mda aliosema mambo yatakuwa sawa. Baada ya hapo nikampigia alinijibu kwa dharau na kejeri.niliumia sana .Siku moja hasira zilinipanda nikapanda gari kutoka tunduma mpaka songea kazini kwake.jamaa kuniona aliduaa kama sekunde 10.kisha akaomba tuongee yaishe nisimpeleke kwa boss wake,nikasema sio shida nipe changu nisepe.akaanza kuleta story za paka na panya,nikamwambia twende kwa boss wake.tukamkuta bos nikamwelekeza mwanzo mwisho,boss katoa Siku tatu nilipwe na kanipa namba yake if kukiwa kimya nimpigie,ck ya pili nikashangaa SMS ya m.pesa yote kama ilivyo,japo ya nauli hakunipa
Na urafiki uliisha sio?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom