Ushawahi kula supu ya mapupu....?

kabanga

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
37,199
18,470
B+2.jpg
 
kama ni mnywaji wa pombe za kienyeji hasa gongo hapo ndo mwake inaondoa hang over haraka.
 
aisee nilikuwa naipiga hii kitu enzi hizo pale uwanja wa shule ya uhuru bus stand now benjamini mkapa high school in early 1990s ilikuwa sh 20
 
Kwani hii haipatikani siku hizi maana naona kila member anasema enzi hizo
 
Kwa mlioko DSM pale mbagala rangi 3 kwenye kona ya kwenda charambe ya zamani kila jioni zinapatikana supu za kila aina..kuanzia hii ya mapupu,ngozi,hashua za mbuzi nk..vitafunwa pia vinapatikana..km chapati nk..(nimeona niwapigie promo wale mama zangu wajasiriamali)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom