Ushawahi kukatazwa kula chakula ugenini Hadi baba/mama mwenye mji afike?

kwa hyo wewe ulikuwa unakula kabla ya baba yako kula?
Basi wewe utakuwa kizazi cha akina junior.
Kuzaliwa 2000+.
Sisi watoto wa 1990 hatuwezi kushangaa haya
Nimecheka kwa sauti hio sentesi ya mwisho ukizingatia mi ni wa miaka ya 80 huko,na huo upumbavu aliokuwa anaoufanya babako mi sikuwahi kuuona popote
 
Nimecheka kwa sauti hio sentesi ya mwisho ukizingatia mi ni wa miaka ya 80 huko,na huo upumbavu aliokuwa anaoufanya babako mi sikuwahi kuuona popote
inawezekana ulikuwa hauna akili .
Kama mama yako Bado yupo muulize
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Upambavu kama huu huwa siupendi kabisa, watu tushazoea kwamba mtu akichelewa chelewa kupakua tunaingia wenyewe kwenye chungu
 
Utakula ulipopeleka mboga.Mmezoea sana dezo.Huu ujinga ujinga wa kukimbilia msosi ndio unafanya wengi wapende dezo.
 
Huyo baba yako alikuwa mshamba sana, kwahiyo watoto mnakaa na njaa mpaka mnasinzia alikuwa anawatesa sana aisee
Baba yenu alikuwa anawaambia mle kabla yake?
Au baba yako alikuwa kiben 10 mida yote yupo nyumbani analelewa na maza.
isije ikawa mama ndo alikuwa analea familia baba Hana sauti.
Ila baba anayetafuta hawezi kuruhusu hilo litokee
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Mimi sili kwa mtu kimasikhara, na wanaonijua nikila kwako nimekuheshim ya ela yote, mbaya sana kusimangiwa food yaan chakula ambacho baba na mama walinifunza kikishaiva ni public good, let people eat hutofilisika so ili kulinda heshma yangu nnachagua mnoo yaan sana nyumba ya kula, hii ni tokea nikiwa shule mpaka leo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom