Ushawahi kukatazwa kula chakula ugenini Hadi baba/mama mwenye mji afike?

Hiv mwanaume unawezaje kutegemea chakula cha nyumban au chakula cha ndugu sehem uliyofikia huo nao n ujinga
 
Wasaalam,

Hivi ushawahi enda sehemu kwa rafiki yako,ndugu yako kusalimiaa etc.

Chakula kimepikwa na muda wa kula umewadia lakin mnaambiwa msubjri Hadi mwenye mji afike ndipo mle kwa pamoja.

Sasaa fikiria ulikuwa umeenda tangia asubuhi sasa msosi umepikwa wa jioni unatakiwa ule uende zako lakini huwezi kula Hadi mwenye mji arudi, ukiaga kuondoka unaambiwa subiri kidogo ndo anakaribia tule kwa pamoja.

Anyway, Kwann ukalishe watu njaa kisa kumsubiri mme/mke arudi toka safarini au kazini, Kwann asitengewe msosi wake pemben akija ale kivyake wakati huo wengine ndiyo mda wenu wa kulala lakin inakubidi usubirie.
Kapike chako ukile utakavyoo
 
Asilimia kubwa watanzania ndivyo tulivyo.hauwezi kula kabla ya mtafutaji hajala.
hata kipindi nipo home ulikuwa hauwezi kula kabla ya baba hajarudi.labda ukadokoe jikoni kwenye sufuria lakini chakula kikishatengwa mezani haugusi
Ingekua vizuri kama mshua anatengewa chake pembeni mliopo pigeni msosi, sisi kwetu utaratibu ulikua huo mshua au maza chakula chake kinakaa pembeni mana hii ya kungojea mtu nyie mna njaa kumbe mwenzenu ukute ashakula zake huko wa home mnataabika sio poa kabisa.
 
ni kweli.tatizo hauwezi kumpangia mama jinsi ya kufanya.kipindi hicho una miaka 10+ .lakini nidhamu hyo imetufundusha kuwa na adabu.
sio watoto wa Sasa hivi akiona tu hotpot anapakua.
Mimi hata niende kwa ndugu siwezi kukimbilia mezani kama mkuu wa kaya hayupo.
 
Wasaalam,

Hivi ushawahi enda sehemu kwa rafiki yako,ndugu yako kusalimiaa etc.

Chakula kimepikwa na muda wa kula umewadia lakin mnaambiwa msubjri Hadi mwenye mji afike ndipo mle kwa pamoja.

Sasaa fikiria ulikuwa umeenda tangia asubuhi sasa msosi umepikwa wa jioni unatakiwa ule uende zako lakini huwezi kula Hadi mwenye mji arudi, ukiaga kuondoka unaambiwa subiri kidogo ndo anakaribia tule kwa pamoja.

Anyway, Kwann ukalishe watu njaa kisa kumsubiri mme/mke arudi toka safarini au kazini, Kwann asitengewe msosi wake pemben akija ale kivyake wakati huo wengine ndiyo mda wenu wa kulala lakin inakubidi usubirie.
Nunua wako ule kama una haraka

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Ukitegemea ndugu,,, utakufa kibudu.. - Roma mkatoliki..
Mkuu huo ni uchoyo tu... Vinyesi tu hvo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom