Ushawahi kukata tamaa? Ilikuwaje?

No Escape

JF-Expert Member
Mar 7, 2016
6,663
7,737
Duniani huku kuna changamoto za kila aina, kuna wakati yanakukuta mpaka unahisi ni lako peke yako na kuathiri mfumo mzima wa maisha yako. Iliwahi kunitokea baada kupata maradhi ya ajabu miaka ya 2000 nilihangaika sana mahospitalini mpaka dawa za kienyeji sikupona, amini kilikuwa kipindi kigumu sana. Nilikuja kupona na hata kilichoniponyesha sikijui mpaka leo, Mungu mkubwa jamani maisha yanaendelea na sasa nipo poa.
 
Inatokea
Mkdb2557.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duniani huku kuna changamoto za kila aina, kuna wakati yanakukuta mpaka unahisi ni lako peke yako na kuathiri mfumo mzima wa maisha yako. Iliwahi kunitokea baada kupata maradhi ya ajabu miaka ya 2000 nilihangaika sana mahospitalini mpaka dawa za kienyeji sikupona, amini kilikuwa kipindi kigumu sana. Nilikuja kupona na hata kilichoniponyesha sikijui mpaka leo, Mungu mkubwa jamani maisha yanaendelea na sasa nipo poa.

ulikua unaumwa nni?
 
Back
Top Bottom