Ushawahi kujutia kufanya mapenzi au kuwa na mahusiano na mtu? Sababu ilikuwa nini?

Itabidi tuliwahi kumeza PEP tuanzishe uzi ili tuanike shuhuda za hivi vidonge: ile umejiegeshga kitandani tu hata usinguzi haujakokea inakuja bonge la ndoto unaota tren inakugonga pwaaaa kichwa kinaacha kiwiliwili alafu mtoto mdogo anaokota kichwa chako anakidumbukiza kwenye maji, unasikia maumivu ya kugongwa na kukabwa pumzi kwa kuzamiwshwa majini....niliishia kumeza za wiki mbili nikasema acha ukimwi uniue( nilichomwa na sindano wakati namhudumia mgonjwa ambaye kimya kimya nilimtoa damu kuipima ana maambukizi ya ukimwi na yeye hajui) PEP ilinifanya niache kabisa kuangalia thriller movie maana sinema zote za kuogofya ziligeuka ndoto mara nipo kwenye kambi ya mateso ya Sobibo. Namshukuru Mungu baadae nilipima na kujikuta sipata maambukizi. Wauguzi mliopo "bed side" Mungu anawapenda sana!
Uliponaje ponaje au damu yake haikupata access kwenye damu yako? Maana ulikatisha dozi. Hii inanifanya niseme UKIMWI haupatikani kirahisi.
 
Kweli mkuu, kupata ukimwi ni kazi Sana, hahaha! Ila usijaribu simu kwa kuionja
 
Nili wahi gegeda demu ana nuka mdogo, aisee sito sahau na sito rudia tena, demu ana lazimisha denda wakati mdomo una nuka kama panya alie oza daah...! Hii ili kuwa ni mtihani mkubwa sana kwangu, demu pisi kali figure 8 tena under 20 nilikula ila baadae nilijuta sana Nyege mbaya nyie
 
Humu ndani full miharufu full mavinyaaa na vichefu chefu juu 😧😤😤😖😖😖
 
Itabidi tuliwahi kumeza PEP tuanzishe uzi ili tuanike shuhuda za hivi vidonge: ile umejiegeshga kitandani tu hata usinguzi haujakokea inakuja bonge la ndoto unaota tren inakugonga pwaaaa kichwa kinaacha kiwiliwili alafu mtoto mdogo anaokota kichwa chako anakidumbukiza kwenye maji, unasikia maumivu ya kugongwa na kukabwa pumzi kwa kuzamiwshwa majini....niliishia kumeza za wiki mbili nikasema acha ukimwi uniue( nilichomwa na sindano wakati namhudumia mgonjwa ambaye kimya kimya nilimtoa damu kuipima ana maambukizi ya ukimwi na yeye hajui) PEP ilinifanya niache kabisa kuangalia thriller movie maana sinema zote za kuogofya ziligeuka ndoto mara nipo kwenye kambi ya mateso ya Sobibo. Namshukuru Mungu baadae nilipima na kujikuta sipata maambukizi. Wauguzi mliopo "bed side" Mungu anawapenda sana!
Nilipitia kipindi kigumu kisicho n mfano,,,,,, hyo kuota unagongwa n teen Lazima ikukute,,,, ila nilimaliza dozi toka Siku hzo nikomakini Sana n Kondom aiseeeeee
 
Urefu wastan upana sasa... Ngoma inaenda kwa shida aaaah we, nkaona isiwe tabu kwanza ilibidi niumwe homa ya ghafla then baada ya kutoka nikasitisha kabisa hayo mahusiano
Daahh
 
Back
Top Bottom