Ushawahi kuibiwa kitu chochote na mpenzi wako?

Kuna demu alikuja kwangu akakaa siku 4 siku ya kuondoka,akanambia tumbo linamuuma niende nikamnunulie dawa.nikatoka nilipofika get in nikakumbuka wallet nimesahau,ile kurudi ndani nakuta PC,simu,majagi,computer kubwa, nakuta anamalizia kufungua flat,wakat naduwaa njema kuna dereva wa bajaj ananiuliza,eti kuna mdada amemwambia aje amchukue.kumbuka wakati huo Nina mwili wa mazoez,roho mbaya za ujana bado ninazo,tena hakuwa amenijaa moyoni kusema labda nitaingiwa na pepo la msamaha,
Binti wa watu alinena kwa lugha,tena alivogundua nimerudi alikojoa palepale .yule dereva ananiamrisha eti,niharakishe yeye ana mambo mengi nilimuhurumia tu nikamwambia,dogo sitaki kukuona
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom