Ushawahi kudundwa na demu?

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,216
113,510
Aisee juzi almanusra nidundwe na demu aisee. Yaani sijui ingekuwaje...maana sijawahi kabisa kupewa kibano na demu na hata kupigana na demu siwezi na sitaki.

Mwenye tajiriba ya kudundwa na demu hebu atupe hapa alivyojisikia....
 
Dah comrade niliwaishuhudia maeneo jamaa akidundwa na demu! Aibu tupu!
 
ukifanya ujinga nakupa kibao vilevile kwani mbona nyie kuwapiga girls hamuoni hatari sasa ni wakati wetu mkileta ijinga kibao litakalokua na liwe
 
Aisee juzi almanusra nidundwe demu aisee. Yaani sijui ingekuwaje...maana sijawahi kabisa kupewa kibano na demu na hata kupigana na demu siwezi na sitaki.

Mwenye tajiriba ya kudundwa na demu hebu atupe hapa alivyojisikia....

pole mkuu uwe unaangalia pia wengine mazoezi ya kupigana wanayo
 
nilishawai zibuliwa kofi lakini makosa yalikuwa yangu . alinifumania chobinga mahali.
 
Nyani Ngabu,

nilikuonya usiende kucheza miziki ya Wabrazil. Sasa wewe kwa sababu ni Mbishi, hukutaka kusikia.

Ona sasa uso wako umeharibika na huyu mtoto wa Bunda ya Brazil :) Kweli kilikuwa kibano, lohh.



Pole sana Nkwingwa..............
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom