Ushawahi kudundwa na demu?

kamwe siwezi pigwa na mwanamke..

Usiseme hivyo kwa kuwa hayajakukuta wala hujayashuhudia,kupigwa na demu imo.Kuna afande mmoja alikuwa anajidai mbabe hasa pale kituo cha kijitonyama mabatini,siku moja akachukua msichana mwananyamala na kumleta ndani kwake kule kwenye lile jumba lao la mabati,wakautumia vizuri usiku mpaka majogoo demu anadai chake,afande hana kitu akataka autumie uafande wake kumtisha demu,ah wapi mtoto wa uswazi hakujali huyu afande wala nini kwanza alimtandika kichwa afande akaangusha meno mawili kabla hajakaa sawa akapewa stuli ya jicho kutahamaki afande anapiga kelele za kuomba msaada toka ndani kwake na demu amefunga mlango kwa ndani,ilikuwa mshikemshike ikabidi ipigwe donation fasta fasta kuua soo na demu bila aibu akachukua chake na akampiga mkwara afande usifike mwananyamala wewe.
 
Duh! hapo afande aliingia choo cha kike cha Asha Ngedere!
 
DAh hiyo dansi ikija bongo tutaondoka na mafua daily maana usafi issueeeeeeeeee hahahahaaha kabunda pass pass pass
 
Usiseme hivyo kwa kuwa hayajakukuta wala hujayashuhudia,kupigwa na demu imo.Kuna afande mmoja alikuwa anajidai mbabe hasa pale kituo cha kijitonyama mabatini,siku moja akachukua msichana mwananyamala na kumleta ndani kwake kule kwenye lile jumba lao la mabati,wakautumia vizuri usiku mpaka majogoo demu anadai chake,afande hana kitu akataka autumie uafande wake kumtisha demu,ah wapi mtoto wa uswazi hakujali huyu afande wala nini kwanza alimtandika kichwa afande akaangusha meno mawili kabla hajakaa sawa akapewa stuli ya jicho kutahamaki afande anapiga kelele za kuomba msaada toka ndani kwake na demu amefunga mlango kwa ndani,ilikuwa mshikemshike ikabidi ipigwe donation fasta fasta kuua soo na demu bila aibu akachukua chake na akampiga mkwara afande usifike mwananyamala wewe.
hii kali ....kuna mademu wengine sooo...
 
Aisee juzi almanusra nidundwe na demu aisee. Yaani sijui ingekuwaje...maana sijawahi kabisa kupewa kibano na demu na hata kupigana na demu siwezi na sitaki.

Mwenye tajiriba ya kudundwa na demu hebu atupe hapa alivyojisikia....

Komredi hukutoa kodi ya meza nini? Alikuwa anakupiga kibesi tu ungekomaa angenywea
 
MHHH....tangu u-beijing umeingia...basi ni full Utemi... mi ndo maana wakinikera nahama tartiiiibu...nsije nkanunua mada kesi!!
 
nilipataga demu moja libabe kwel kwel,nilikua nakula vibao mara kibao,kuna siku nilikula kibao mpaka ulimi ukakatika kidogo,nilipiga hilo demu siku hiyo ningeua kama wasingenitoa.
 
mkulu pole...............!
mi sipendi kupiga watoto wa kike lkn bado haijatokea wamenipiga...........!
 
Back
Top Bottom