Ushawahi kuanzisha mahusiano mtandaoni na mtu ambaye hamjawahi kuonana

Habari wakuu.

Ushawahi kuanzisha mahusiano kupitia mtandao wa kijamii na Yalidumu.

Mimi yapo kama mawili ya Kwanza nilianzisha na mwanamke ambaye nilikutana nae facebook tulianza charting za kawaida tukaamia whatsup Tukajikuta tunawasiliana muda mwingi hali ilipelekea kuanzisha mahusiano mahusiano haya hayakuweza kudumu kwa kuwa huyu alikuwa serious kuonekana anahitaji kabisa nimuoe nilipotezea kwa kuwa nilihitaji awe huru.

Je, ushawahi kuanzisha mahusiano ya kimapenzi serious kwa mtu ambaye mmekutana mitandaoni?
Sikushauri,mkeo au mmeo hayupo mtandaoni,we endelea t utaishia kuibiwa
 
Mimi enzi za ujana sana, enzi za mig33, nimbuzz, na nyingine nimeisahau. Nikiwa mig33 nikawa na mahusiano na madada wawili, mmoja sikufanikiwa kukutana naye nilikuwaa namkimbia ila alikuwa na ukaribu sana na mimi maana alikuwa ananitumia ela nikiwa na shida hapo nikiwa chuo, na zawadi kibao.
Mwingine nilifanikiwa kukutana naye daah mimi mwembamba yeye alikuwa bonge yani siti ya watu wawili kwenye daladala anaenea yeye peke yake. Nilivumilia kwakuwa nilikuwa baharia chuo na alikuwa ana ela naye akawa ananitoa nikiwa nimemaliza boom namdropia ananipeleka restaurant na kula na ela ananipa.
Wa tatu alikoseaga namba, demu alikuwa na sauti tamu kinoma, na jina lina swaga hhalafu anaonekana mtu wa dini mimi nikaanza jena mitaswira yanu kichwani atakuwa shombe mara hivi. Nikafunga chuo nikaenda kukutana naye, dah yani alikuwa mbovu sijapata kuona nikavumilia salimiana naye niliposepa sikuwahi mtafuta nikawa nampotezea tu.
Wengine nitatoa story siku nyingine maana nilishapata majanga ya kuhackiwa simu kisa demu wa mtandaoni.
Umenikumbusha room ya TIGO TANZANIA pale mig33, unakuta mtu ana id 8, basi ni mwendo wa ku kick watu..

Niliwahi pata kamrembo kipande ile, Mig33, Nimbuzz, yahoo messenger, marafiki.com, darhotwire na jamboforums.

Popote zilipo kwenye makaburi yake, tunazienzi
 
HHHalafu wewe jamaa nakufahamu hii ID ulikuwa unaitumia mig33, na tunafahamiana sana yani ID yako imenikumbusha wewe hapo kulikuwa na watu kama Meja Jr... nadhani umekumbuka na zile tabia zao za kuflood mpaka mnatoka chatroom
 
Tawile shekhe, kama nimekusoma ivi, hivi yule binti aliyekuwaga mtoto wa mheshimiwa yuko wapi siku izi?

Unatumia namba ile ile inayoishia 27?
 
Niligombana na babe wangu wakati ule nikaamua kuvamia group moja la WhatsApp lq watu wa COHU pale chuoni.
Kupitia kuagalia Dp za madem whatsapp nikamuelewa mmoja. Nikachukua namba zake nikataka nionane naye, alizingua zingua lakin mwisho alikubali.

Vile naonana naye tu..Dah!!
Mama mmoja masai mkubwa mpaka haiwezekani. Nilitaka kukimbia .
Nikapiga moyo konde nikaongea naye nikamtongoza akaniambia ni mke wa mtu. Nilishukuru nikakimbia
Aisee hatari
 
Tawile shekhe, kama nimekusoma ivi, hivi yule binti aliyekuwaga mtoto wa mheshimiwa yuko wapi siku izi?
Mara ya mwisho tuliwasiliana mwaka 2017 nadhani akiwa canada, walihamia huko then baada ya hapo sikuwahi kuwasiliana naye.
 
Niligombana na babe wangu wakati ule nikaamua kuvamia group moja la WhatsApp lq watu wa COHU pale chuoni.
Kupitia kuagalia Dp za madem whatsapp nikamuelewa mmoja. Nikachukua namba zake nikataka nionane naye, alizingua zingua lakin mwisho alikubali.

Vile naonana naye tu..Dah!!
Mama mmoja masai mkubwa mpaka haiwezekani. Nilitaka kukimbia .
Nikapiga moyo konde nikaongea naye nikamtongoza akaniambia ni mke wa mtu. Nilishukuru nikakimbia
Mamaae,kidogo utoke nduki?!
 
Nilishakutana na watano wawili insta, watatu fb, mpaka sasa hivi niko nao watatu na wawili wana watoto na wote ni michepuko,

Mmoja nna miaka 7 nae, mwingine mi4, na mwingine mi3 na nusu... Huyo wa kwanza ilituchukua miaka mi3 kuonana kwa mara ya kwanza wakati yeye aliishi moro mimi dar...

Uzuri hua nakuaga muwazi nao wanakua wawazi, hakuna changamoto kubwa niliyokutananayo kuonana kwa mara ya kwanza
 
Nilianzisha mahusiano na mdada mmoja, kupitia mtandao wa Eskim alikuwa ni mzuri wa sura sana, na alikuwa serious katka mahusiano yetu kama mimi nilivyo maanisha,
Changamoto ilikuja tu, mala baada ya kuonana nae, hakika alikuwa ni mnene hasa kuanzia kifuani, khaaaaa!!!!!!!
Yaani nashindwa kuelezea ila alikuwa na umbo mithili ya tikiti, minyonyo mikubwaaa, hana tako ni flat, na miguu yake miembambaa,,
Japo alionesha kunishawishi lakini nafsi yangu iligoma, na uhusiano wetu ukafikia tamati,
🤣🤣🤣🤣
 
Dah!
Ndugu unayo namba yake bado?
Nipatie kanamba kake,
Nimpe pole🤔
 
Yes i did, nilijisajili katika website fulani hivi ambayo lengo kuu lilikuwa ni kuwakutanisha watu wenye uwezo wa kuongea lugha mbali mbali toka sehemu mbali mbali za dunia ili waweze kufundishana for free,

Sasa toka nijisajili katika mtandao ule wote niliyowahi watumia free hi ! kuwaonesha kuwa nipo interested kuongea hakuna aliyewahi nijibu basi ikawa inaniuma sana .

Basi siku moja nikiwa katika dk za mwisho za kuendelea kutumia ule mtandao nililiona jina fulani la binti waki Aussie hakukuwa na picha wala nini basi nikamtumia " free hi !" since i was not a gold member ila moyoni nikajiambia kama atakubali nitahakikisha nakuwa rafiki bora kwake lakini pia kama anakuwa kimya ( without giving me back free hi !! ) hiyo ndyo itakuwa mara yangu ya kwanza na mwisho kutumia ile website.

Lakini kama bahati yule binti aka respond ukweli nilifurahi sana basi tukachart then tukaamia sasa skype huko nikasugest tutumie audio call cause i was not confident enough to face her through video call , akakubali tukafanya kwa muda fulani then nika gain confidence ya kuonana naye na kuweza zungumza naye akanitambulisha kwa wazazi wake na pia nikafanya hivyo , next kwa wanafamilia wenzie basi toka pale mbaka sasa ni mwaka wa tatu huu the bond btn us is still very strong than ever ,tho distance is still one of the big challenge btn us . yeah , she once told me that oneday we will see each other physical but i dont think so , i can't feel it at all, if that would happen one day .
 
Mi nishakutana nao wengi sana Facebook, eskimi,jamii forums.

Ila acha nielezee hizi mbili ndo ziligusa zaidi maisha yangu siwezi sahau.
1.Wakati nipo form 5 nipo likizo nilipokea text kutoka namba ngeni ikiniuliza "1000 rupee is equal to how much shillings?"nikajibu sijui akauliza tena nkamjibu kwa ukali ndo mazungumzo yalianzia pale ,nikamuuliza kama ananifaham yuko wapi ?Alinijibu hanifaham na namba yangu katoa fb nilimtumia rafik yake friend request kitu ambacho nadhani haikua kweli na pia tukajikuta tuko mazingira ya jirani mawasiliano yaliendelea tukajikuta tunakua wapenzi changamoto ilikua kuonana ila nilimpenda sana nayeye alinipenda sana sana sana tulivyokua tunatofautiana naumia hadi nkajikuta sina time na wanawake wengine najitahid kuwa mwaminifu kwa MTU ambae sijawahi muona.

Ila nilijikuta nampa nafasi ya kwanza katika moyo wangu kuyokana na picha za uzuri wake katika Maelezo anadai anawajua wazazi wangu na watu wangu wa karibu na ni kweli ila sijawahi bahatika hata kumjua Ndugu yake japo alishaganieleza kila kitu ila nimemtafuta bila mafanikio.
Wakati mwingine uwa nawaza au sio binadamu mpaka Leo hii bado tunawasiliana na malengo yetu kuoana japo hatujawai kuonana anadai yupo udom mwaka wa 3 udaktari .

Nilifall in love na mtu ambaye sikuwah kumuona mpaka Leo tangu mwaka 2013 mpaka Leo hii .

2.Story ya pili ni binti tulikutana humu jamii forum alibandika tangazo nikawa nimeshinda kinyanganyiro kiukweli urafiki wetu ulikua mkubwa na tulioatana sana hadi kupendana kabla ya kuonana alikua ananipa pesa sana vocha usiseme na ndo mtu alinipa hamasa na nguvu ya kupanga ili akija asinikute nyumbani make yeye alikua anafanya kazi mkoani ila kwao ni hapa dar pia kutokana na kwamba sikua na ajira alipanga anifungulie biashara .

Mwisho wa siku viliibuka visa nkajikuta tumeachana kwa makosa yangu mwenyewe ila nilitaka nimuepuke sababu alitaka nimuoe fastaaa kitu ambacho kisingewezekana kwangu.
 
Back
Top Bottom