Ushawahi fanya figisu kuvuruga mahusiano ya watu ili awe wako?

Na sahz Niko njian naelekea kazin kwake kujua mbivu na mbichi khs huu Uzi.

Ntaleta mrejesho soon,
maana tangu Jana usiku akili yangu haijatulia KABISA ukizingatia mtoa mada Ni I'd mpya kabisa
Haha Tulia Mzee Story naona Kama haziendani au ushanunua na Gari na Kumtishia Bastola
 
Haha Tulia Mzee Story naona Kama haziendani au ushanunua na Gari na Kumtishia Bastola
Gari anayo tangu j.mosi ila sijamnunulia, anaendesha TU kwa MDA.
Kwny Bastola Ni 100% True.

Vingine Kama nyumba sio kweli, la KWANGU bado Ni pagale nmelitelekeza.
 
Gari anayo tangu j.mosi ila sijamnunulia, anaendesha TU kwa MDA.
Kwny Bastola Ni 100% True.

Vingine Kama nyumba sio kweli, la KWANGU bado Ni pagale nmelitelekeza.
Nikajua Ile mliyokuwa manaifuatilia Kununua Ukairekebisha ushamkabidhi.. ila nenda yaliyomo yanaweka kuwa Yamo
 
Sema hii tabia wanayo wasukuma sana kupambania mwanamke, Ivi mkuu DeepPond wew sio msukuma kweli? Maana kwa experience yangu wasukuma ndio tabia zao.
 
Nazungumzia ile kutegeneza fitna,zengwe na figisu Fulani ili KUVURUGA mahusiano ya watu, ili Wewe upate nafasi ya kumsogeza karibu umtakae au kumtuliza yule umpendae
Mwambie hugo jamaa aliyekupa wazo aje makumbusho afanye kazi kwa manufaa ya taifa
 
Back
Top Bottom