Ushawahi fanya figisu kuvuruga mahusiano ya watu ili awe wako?

Hii ishu sio yangu ila nilisimuliwa na dereva wa bodaboda jinsi madereva wajanja wa boda/bajaji/taxi wanavyofanya wakipata abiria wa kike pisi kali hususani akiwa ndo anaenda kwa mchizi mara ya kwanza.

Mchezo huwa unaanzia pale boda anapopewa simu ili apokee maelekezo kutoka kwa mchizi kuhusu njia ya kupita kumpeleka mrembo geto.

Dereva mjanja akishapokea simu kama hiyo tu, kichwani anakuwa ashapigia mstari kuwa hii ngoma anaigeuzia njiani (kama ngoma ameielewa inalipa).

Anachofanya ni kabla hajampa yule demu simu ni anablock ile namba ya mshkaji halafu anaweka simu airplane mode. Wako fasta sana katika hiyo kazi, demu anakuwa anaongeleshwaongeleshwa hashtukii.

Kama akiona demu kanogewa sana na stori anambadilishia kabisa namba ya mshkaji anaweka namba yake yeye halafu simu yake anaipiga silenti.

Basi wakifika sehemu fulani ya kuingilia sasa ndani ndani si inabidi wasimame kupata maelekezo zaidi, basi hapo ndo episode ya pili inaanza.

Kama namba ilibadilishwa kabisa basi hapo ndo demu anang'olewa kirahisi sana. Maana atapiga weeeee inaita tu inaita tu.

Jamaa hapo atachomekea kwamba jamaa atakuwa na demu. anaweza hata akanogesha stori kuwa hiyo sauti ya jamaa kwenye simu sio ngeni sana na anamjua jamaa kwa kuleta mademu kila siku.

Basi demu atanuna kidogo halafu atapiga tena inaita tu haipokelewi. Ikifika hapo ndo jamaa anakuwa ashapata chansi ya kuchomekea voko zake.

Unakuta demu kwa hasira ya alichofanyiwa na mshkaji anamkubalia jamaa waondoke kwenda anakotaka.
 
Nshawahi kupanga na mume wa jamaa amfukuze mkewe, mpango ulianzua gest Ili jamaa atukute kama fumanizi..Mzee nikamla kiserious)kikwelikweli.

Jamaa akaachana na mkewe.

Sintasahau dhambi ile
 
Kama ni kweli, litakukuta jambo hutakaa usahau, ogopa sana kitu kinaitwa fitina, sijui hii kitu utasafishaje mwamba!! kuna vitu vingi hatuvioni lakini kilio cha huyo jamaa kama kweli alikua akimpenda mpenz wake na wewe ukafanya hivyo kuyavunja makusudi huku ukiwa na mkeo, my friend utakuja kulia sana!! katubu na useme ukweli kuwarudisha tena pamoja
 
Nazungumzia ile kutegeneza fitna,zengwe na figisu Fulani ili KUVURUGA mahusiano ya watu, ili Wewe upate nafasi ya kumsogeza karibu umtakae au kumtuliza yule umpendae

BINAFSI ILIKUA HIVI
Nadhan wote mnamkumbuka vizur yule Mchepuko wangu msumbufu, sasa figisu la leo linamhusu yeye

Nakumbuka niliwahi kuwasimulia nilivokutana nae baada ya maZoea ya Hapa na pale kumpa lift Kwny gar akiwa anaenda&kurudi KAZIni kwake kipindi Cha mvua za masika,
Hivyo kujikuta vishawishi tushasex ndani ya Gari na Kisha mahusiano yakaanzia hapo hapo mpk hivi Sasa tuko Pamoja.

Sasa ile baada ya kusex ndo mwanamke yule Akastuka akaulizia mwafaka wa kile tulichokifanya, nikamwambia nakupenda ndo Maana nmefanya vile.
Nae aKasema ananipenda ndo Maana kakubali kunipa vile.

Nikamuuliza Kama anamtu mwngn kwny mahusiano kabla yangu aKasema hapana.
Nami akaniuliza, nikamwambia Niko na wife tu na Wewe Apo. aKasema POA ikawa imeisha hivyo.

Kuna siku tuko kwny gar tunafanya yetu, Mchepuko Wang mwngn ukapiga simu (nilisahau kumblock kabla) akaonyesha na wivu sana.

Sikupokea nikamwambia Ni wife tu uyo, akastuka kwnn sipokei. Likawa vurumai kweli kweli mle kwny gar anataka nipokee sim yake. Nikakata,nikamblock na nikafuta na namba kabisa haraka sana. NIKAKANA ILA AKABAKI yeye HAJARIDHIKA.

Baada ya vile nikaona kweli uyu mwanamke Yuko serious na Mimi, Aya mahusiano mengine Ni Bora niyavunje hamna kitu mule, nibaki na uyu uyu mmoja anaeyawezea haswa ya utam wangu kitandani.

Baadae Yule mwanamke mwngn aliponitafuta imekuaje MDA ule nmemkatia, nikampiga chini kikatili kua wife kajua kwaiyo sihitaji tena mahusiano na Wewe. Akalia Sana Ila ikawa ndo ivyo maamuz yashapita. Nikamblock na kufuta kabisa Namba zake kabisa kwnyw sim zangu zote.

Sasa nikabaki na uyu uyu Mchepuko mmoja, ila Sasa ikawa Kila Mara anakagua Simu yangu nami sometimes nakagua Simu yake.
Changamoto niloiona kwake nikagundua huwa anaonekana anachat sana kwny sms za kawaida na wasap, ila ukishika Simu unakuta EMPTY SMS.
Machale yakanicheza ila Nikapotezea.

Baadae nikaja fatilia kwny calls history zake nikagundua kua huwa Kuna namba flani inaishia 195 huwa anaongea nayo Sana (masaa kibao) hasa nyakati za usiku tunapoachana nikienda kulala kwangu.

Basi siku Moja nikaistall download secret call recorder na kuificha kwny calculator vault ndan ya Simu yake.
Kisingizio ni kwamba calculator yake siielewi kuitumia naweka ya kwangu, akakubali na nikasistiza asiifute. Akasema sawa.

Ikawa Nikikutana nae, nafungua ile app chap Kisha zile voice zote recorder nazirusha ktk sim yangu kwa wasap, tukishaachana natulia sehem kuzisikiliza A to Z maongezi yote kwny sim yake.

Kisha pia na kwny wasap yake, nikaiunga na WhatsApp web ya uku kwangu, nikailink na Kisha nikaondoa isionyeshe icon yoyote ninapokua namtrack nyendo zake.
Namseti Aingie TU online, akishaingia na Mimi namuunganisha uku kwangu kwaiyo wasap yake naiona yote Kila kitu uku kwny sim yangu.

Basi katika kufatilia maongezi yao nikagundua ana mahusiano na jamaa mmoja wanavoonekana wanapendana Sana afu wameanza MDA mrefu kwa jins wanavoongea kwenye Simu.

Kwenye WhatsApp yake nikagundua jamaa Ni fundi umeme (profile picture yake) Yuko tanesco ofisi ya wilaya pale pale
(niliona wakitumina picha mda wa mchana wakiwa wa kazin, site n.k)

Pia nikaona wanamazoea ya kutumiana picha za uchi MDA wa kulala, na sometimes nyingine Ni za selfie kila wanapokua wamekutana uko faragha nyumban kwa jamaa.

Yaan inavoonekana wanapokutana, jamaa humpiga mwanamke picha picha za uchi. Afu wakiachana uyu bint akarudi kwao. Jamaa humrushia picha zile binti. Na binti huonekana kufurahia Sana zile shots.

Binafs nikaona Haina shida wao Waendelee TU na yao mi mwnyw kwake nmefata sex tu, Sina haja na ayo mahusiano yao, cha muhimu Shea yangu napata na inanitosha. Sina NOMA nao.

Sasa kwa jins tulivofika tunaendelea mwanamke yule akawa anaonesha wivu sana kwangu, Kimoyo moyo nikawa najisemea
"Uyu mwanamke Ni mnafiki TU, anajifanya anawivu sn namm, Ela zangu anakula afu wkt Kuna lijamaa jingine linambanjua uko gizani"
Anyway Haina shida Ila Nikapotezea.

Mahusiano yakaenda yakafikia wakati nikanogewa na utamu wake, hivyo ratiba ya kusex nae nikawa naifululiza sana na MDA mwingi NATAKA,

Akawa Sasa mwanamke kuonana na jamaa ikawa Ni changamoto nlikua namchosha haswa afu namhonga haswa haswa ili anipe Zaid na zaidi.

Uku jamaa akawa mlalamishi balaa kwny mazungumzo yao wanafokeana maana mwanamke akawa haendi Tena kwake kumuona Kama zamani.

Sasa vile wanaparuana, Mimi nawazoom pembeni Kisha naendelea na mambo yangu kimya Kama Sijui CHOCHOTE.

Sasa kwenye mazungumzo yao, mwanamke akawa anataka kujua msimamo wa jamaa Kama anaweza akaonekane kwao, vinginevyo suala la kuja kwake asahau tena au Kama vipi waaachane afanye maisha mengine.

Jamaa akaonesha kweli anania ya kumuoa binti yule na mda wowote Yuko tayar.
Basi wakamaliza ule ugomvi wao na wakapanga mipango kwamba jamaa ajipange ndani ya miez 2 ijayo jamaa akaonekane kwao na mwanamke, apeleke barua ya uchumba ili binti aamini kua jamaa Yuko serious na yeye.

Sasa Mimi kuskia mipango ile, akili ikaniwaka moto kwamba uyu jamaa akiwa serious na hili, uyu mchepuko ntampoteza.
(Jamaa alipeleka barua serious, uyuBinti Yuko kwenye hati hati ya kunipiga chini mazima)

Nikamfata jamaa yangu wa karibu tushauriane.
(Yule jamaa yangu wa sheli)

Akananishaur tutengeneze figisu tuvuruge mipango yao ya kuoana na ikiwezekana waachane kabisa , ila wao wasijue Kama Ni sisi tuko nyuma ya hili.
Nikasema "sawa, kwaiyo tunafanyaje Sasa"

Akasema, Kama kweli wanatumiana izo picha za uchi, tumia Hilo Hilo gepu uwagombanishe WAPARUANE wao kwa wao.

Nikamuuliza," Tunafanyaje nifafanulie."

Akasema,
"Kaka, Unachukua baadhi ya picha za uchi za uyo mwanamke wako alizoshea na uyo jamaa, afu Hapo linatengenezwa figisu kana kwamba Kuna mahali wewe umezikuta zimezagaa. Either kwny grup la wasap au popote n.k afu unamtumia uyo mwanamke wako.
Afu wanaanza kuparuana wao kwa wao zimefikaje uko. Nawalizipiga wawili na walichati na kushea wawili TU. Probably mwanamke ataamini jamaa ndo kazivujisha tu.
Nnachokwambia Kaka Hakuna mwanamke anapenda faragha zake zivuje hadharani, atamzingua tu jamaa hutoamini."

Nkasema "sawa, ila Sasa ntazipataje tena maana nyng nilikua naziona napotezea na akijua atakutana namimi kwny sim hazikai anazifuta"

Akasema,
"Wee tengeneza mazingira wakakutane Tena wakafanye ili wapige picha zao jion watumiane, Kisha wee uzidake juu kwa juu uzisevu afu uzilete tuzifanyie ufundi."

Nkasema "sawa"

Basi baada ya Hapo, nikaanza kupunguza ratiba ya kuonana nae.

Basi jumatano Moja nkatengeneza Kisingizio kwamba Kuna mizigo imeingia wiki hii, kwaiyo kuanzia wiki ijayo Ntakua nachelewa sn kurud hivyo kukosa kabisa MDA wa kuonana na Wewe. Sina wasaidizi kila kitu ntashughulikia mimi mwnyw. Kwaiyo Ela yako ya matumiz na naul yako ikifika j.pili ntakupa ya wiki nzima. Akasema POA.

Basi kweli nikaanza kuwafatilia kwa wasap, Sasa ijumaa Moja mchana wakawa wanachat. Jamaa akamwambia wanahjtaji waonane amemmiss. Mwanamke akamwambia sawa akishatoka kazin ataenda kwake jamaa. Jamaa akasema POA.

Sasa siku Iyo, mwanamke uyo jion yake akanipigia na kunipa pole na kazi nikasema Asante. Kisha Akasema ijumaa iyo jion anaomba aende kwa shangaz ake nje ya mji kwa siku 2 (j.mosi na j.pili) akamuone anaumwa, kisha atarud j.3 apitilize KAZIni. Nikasema "sawa Basi tuonanae usiku huu nikirud nikuachie Ela ya nauli&kula wiki nzima ijayo". Akasema "sawa".

Basi usiku wake tukaonana, nikapakua voice zangu kwasiku zote ambazo hatujaonana, nikakagua sim yake ila nikakuta keshafuta zile chats zake za wasap na jamaa. NIKAPOTEZEA

KIsha nikampa Ela yake ila Akili yangu inanambia kabisa uyu haend kwa shangaz yake Wala Nini, anaenda kuspend na jamaa kwa siku mbili hizi j.mosi na j.pili. ila NIKAPOTEZEA.

Iyo wikend akawa anaitafuta kunijulia Hali, namm naitikia Kama Sijui chochote. Fresh.
Kuna siku nkamtega anipe uyo shangaz yake niongee nae, akasema kaenda duka la dawa kununua dawa. Nikataka nimuulize kwann mgonjwa aliehoi aende kununua dawa mwnyw with nyie mpo. Nikaona atahisi nmemstukia. Ikabidi nikubaliane nae na uwongo wake huo.

Ilipofika j.3 ya wiki inayofata kweli asbh akanambia kua ndo karudi na Yuko kazin,nikasema POA.

MDA Si mrefu nikamtekenya kua aingie wasap Kuna kitu nmemtumia (missing you postcard), akasema sawa ngoja aingie. Ile Kuingia TU namm nikaunganisha mitambo yangu nikaona jamaa hajatuma kitu bado. Tukachat Mambo mengn ikaisha hivyo. Nikasema uyu labda nimuotee tena ule MDA wa kulala.

Kweli mida ya saa 5usiku, nikamtext wasap nikakuta Yuko offline. Nikampigia aingie wasap tuchat kdg. Akasema sawa.
Basi namm uku nikaunganisha mitambo na kuanza kuangalia wasap yake.

MDA ule ule Naingia wasap,
nikakuta kumbe walishachat tayar na jamaa tangu saa 4 usiku na wakaagana. Na mapicha picha kibao wako uchi kule wametumiana.
Basi nikafanya kilichonipeleka,nikazipakua zile picha zote za ajabu ajabu na kumchatisha upuuzi upuuz TU na kumuaga kumtakia usiku mwema. Akasema poa.

Kesho yake nikampelekea jamaa angu, jamaa nae akanipeleka kwa dogo mmoja hivi Ni mtaalam wake wa maswala ya kompyuta. Akamwabia kua anatakiwa atengeneze mazingira kwamba hizi picha za uchi jamaa anafanya kuzisambaza kwenye grup la mafundi wenzie afu yatengenezwe mazungumzo feki kua jamaa anawambia wenzie kua yule mwanamke Ni malaya wake tu wakupiga na kusepa na wala Hana mpango wowote wa kuoa.

Kwamba Na anayetaka kupiga pale aseme apewe namba zake. Afu wengine waombe namba ndani ya grupu jamaa aweke hadharan namba za yule mwanamke kwa wenzie kwenye grupu Pamoja na mapichapicha kibao ya uchi wakiwa wote pamoja.

Basi nikaafiki wazo, Tukamwachia yule Dogo zile picha akasema turud kesho yake. Ila akatuomba ombi moja apate sample ya screenshot ya maongez yao na mwanamke yule na jamaa, ili jamaa aingie mkenge vizur asijejitetea uko kua zimekua hacked and fabricated. Nikasema sawa.

Basi nikampigia kua naomba aingie wasap nmemtumia kitu, akaingia Kisha nikarushia ua la rose kua nampenda. Akajibu asante tukaagana. Bas Mimi mda huo huo nikaenda kwny chats zake na jamaa nikaziscreenshot conversation kadhaa na kusave kwny sim yangu. Tukaagana. Kisha nikafowardia yule bw. Mdogo. Akasema sawa.

Baada ya siku 2 akatuita kua kazi yetu tayar, kuangalia kweli kazi Ni yenyewe na MDA wa chats, jina la grupu,mapicha picha, wahusika feki pamoja na matukio kayapangilia vizur Sana. Utadhan ni kweli kabisa zimescreenshotiwa kutoka kwny wasap grup ya jamaa akichat na mafundi wenzie. Nikasema PERFECT.

Basi Bw.mdg akazirusha kwny sim yangu nikazihifadhi sehem salama kabisa (kwny vault yangu) kisha nikamuachia ya maji tukaondoka zetu. Ikabaki Sasa Mimi sasa ndo nilipue ilo bomu WAPARUANE UKO.

Nami nikaplan kua uyu ntamtaftia nafas nikae nae chini nimchane ukweli kua izo picha picha na conversation Kuna jamaa yangu Yuko na grup Moja na jamaa kazikuta zinajadiliwa kanitumia.
Kwaiyo aache kujifanya ni mtakatifu kwangu kumbe ni Malaya tu anayejiuza mitaani kwa maelezo ya jamaa yake uko kwny grup lao alietembea nae.

Basi iyo wiki ya ubize ikaisha, na nikarudi zangu tukaendelea na mahaba maana sikutaka kumstress haraka haraka kabla bado sijamfaidi vizur maana Ni wiki nzima nilikua sijammwaga maji uyo mchepuko wangu. Migenye yangu ilikua high Sana.

Basi baada ya kurud, siku ya kwanza tukafanya fresh, siku ya pili fresh.
Siku ya tatu usiku tulikua na miadi ya kukutana.
Sasa MDA ulipofika saa (1 usiku) nikampigia akawa anatumika Sana, piga Sana Simu anatumika Sana.

Nikabadili line ya mtu,simu yake ikaita kdg afu nikaikata. Kupiga Tena kwa line yangu ikawa inasema bado inatumika.
Nikagundua uyu kumbe kaniblock, afu inawezekana kaenda uko kwa jamaa yake kubanduliwa wkt mm na yeye tushaweka miadi tayar afu ananiblock.

Nikasema huu Ni Ujinga, nalipua bomu leo leo, wakaparuane uko uko walipo. Basi nikaingia wasap yangu. Nikafanya setting kua zile status ntakazoweka aone yeye TU. Kisha nkachukua mapicha picha kama screenshot za conversation feki za grup za wasap Kisha nikaweka status.

Najua akifungua TU status wasap atakutana nayo. Kiumane uko uko. Kisha nikaendelea na shughuli zangu.

Baada ya masaa 3 hivi, nikaona ananipiga. Ikaita Kama Mara 3 hivi Sikupokea. Akapiga Tena nikaona nipokee nimsikilize.

Akasema, "Ni Nini umefanya Sasa"

Nkamuuliza, "kwani wee umeona Nini"

Akasema, "icho ulichoweka status wasap"

Nikasema, "wee Si nakupigia nikufahamishe nilichoweka wasap umeniblock bhana, nimeamua kuweka uko kusudi ukiwasha Simu utanipigia maana umejifanya mjuaji sana"

Akasema " hapana sijakublock UTakua Ni mtandao ndo shida"

Nikasema, "hamna Cha mtandaoni, nmepiga unatumika, nmetumia namba nyingine inaishia na 22 inaita vizur tu. Kwaiyo bila shaka ulienda uko kujiuza kweli Kama nilivoambiwa ndo maana ukaniblock"

Nikaongeza,
"Mchana huwa Unajifanya ni kondoo unawivu Sana na Mimi kumbe usiku ni bonge la fisi unaenda kujiuza uko mitaani, wee Ni mwanmke Malaya Mimi na Wewe bhasi"

Akaanza kulia anabembeleza kua iyo sio kweli,
nikamuuliza "na zile picha picha ukiwa uchi Ni Wewe au sio wewe?". Akasema kweli Ni Mimi.

Nikamwambia "Na zile screen shot za conversation jamaa alizoshea mkichati pamoja kwenye grup Ni zako au sio zako?" , akasema kweli Ni zangu.

Nikamuuliza uyo jamaa unamjua au humjui, akasema namjua.

Nikamuuliza,
"Zile namba za simu alizoshea kwny grup Ni zako au sio zako?" Akasema kweli Ni zangu.

Nikamwambia,
"Sasa utanithibitishiaje unasingiziwa na Wewe sio Malaya unaejiuza mitaani wkt kila kitu Ni chako umekubali"

Akasema "hapana Nisamehe sn mpnz wang, ngoja nikuelezee vizuri" nikakamkatisha kua aachane na Mimi aendelee kujiuza uko mitaani. Nami nikihitaji huduma yake ntakua namtafuta nalipia Kama uyo jamaa yake anavolipia.

Basi akalia Sana , sikumsikiliza nikamkatisha kua anisahau kabisa.

Aisee, mwanamke yule alilia Sana kwny Simu, nikamkatia Simu.

Ile nmekata TU,
Jamaa nae nikaona ananipigia anajieleza na kuniuliza nmezipata wapi zile picha, nikamwambia kua Kaka UTakua umekosea namba,unanambia habar sizielewi. hebu kagua Simu yako vizur.
Akasema hapana anauhakika Anaongea na Mimi (akanitaja mpk jina)

Nikamwambia Ayo maswali anapaswa amuulize alomwambia hizo habar, afu simjui hanijui kwaiyo asinizoee. Akiendelea ntamfanya kitu mbaya hatosahau maisha yake yote. Kisha nae nikamkatia Simu.

Asubuh kulipokucha mwanamke akanipigia sim sikuipokea, tuma Sana sms za kujieleza sikujibu kitu.

Basi jion yake akanipigia kwa namba ngeni, niliposkia Ni yeye.
nikataka kukata sim, Ila ikabd nimskilize tu. Akajieleza kua kakubali matokeo tuachane ila Anachohitaji ni kuonana na Mimi kwa Mara ya mwisho ana yake ya moyoni ya kuongea na mm. Nikasema POA tutakutana kwny bar flani nkishatoka kasin.akasema POA.

Basi kufika pale bar, kajifunika mtandio,Macho mekundu afu yamevimba, Akaanza jieleza kua anaomba aniambie ukweli wa kila kitu mpk ikatokea vile na picha zikanifikia. Nikasema sawa.

Akajieleza kwamba kwanza anaomba aniondoe mawazo kua yeye anajiuza, kwamba yule jamaa alinificha mwanzo ila ndio boyfriend wake wa miaka mingi, hizo picha nikweli alkua anachat nae na sio kweli kwamba kwa maelezo ya jamaa yeye ni kahaba anajiuza so anajipigia.

Akajieleza kua hata yeye anashangazwa inakuaje mtu wake anasambaza picha zao za private na anamdhalilisha uko kwenye magrupu ya wenzie, akajieleza kwamba pia kwa nilichokifanya kumtangaza kwny status anaona pia aibu sana nmemdhalilisha zaidi maana hata kutembea barabarani mchana anahisi watu wote wanaona uchi wake. Leo yenyewe hajaenda kabisa KAZIni

Nikamwambia kwanza ebu nipe iyo Simu yako afu endelea kujieleza.
(Lengo nipakue chap zile calls zao nisikie walichokua wanaongea kwnyw Simu baada ya tukio)

Basi akaendelea kujieleza kua aninaomba Sana nisimfikirie ni Malaya kihivyo na nisisambaze tena hizo picha zake.

Nikamwambia, Sikua na haja ya kusambaza izo picha zako, ulijifanya mkaidi sn ukaniblock ndo maana nikakutumia uko status.
Kingine jua kwamba uko salama, niliweka only you, wewe TU ndo uone.
Ila chamuhimu nishajua wee ni wa aina gani, mi kwangu iyo inatosha. Sina kinyongo na wewe. NIKAMWACHIA ELA YA KULA Kisha nikaondoka zangu.

Kufika chemba, nikaskiliza zile calls, aisee nijihisi kuvibrate. Jamaa anaomba msamaha Sana hajui chochote kilichotokea. Hilo grup halijui zimetengenezwa tu.mwanamke haelewi anamtukana jamaa matusi ya nguoni. Mwishoni anaahidi kua ataenda polisi kumshtaki kwa kumchafua mitandaoni.

Niliposkia habar za polisi nikaona Hii isije fika mbali tukasanukiwa, kesho yake nikampigia. Akasema anaomba sana msamaha aliangukia TU kwa mwanaume limbukeni na atahakikisha anamshtaki polisi kwa kumchafua ili niamini kua yeye hajiuzi.

Nikamwambia Achana na hizo ishu za polisi, unazidi kujidhailisha TU.
wee Tuendelee na mahusiano yetu,ila Kama unajiuza kweli, ntajua TU uko mbele ya safar na kwamwe sitokusamehe Tena.

Akaniuliza umepata wapi hizo chats, nikamwambia Kuna jamaa yangu Yuko karibu na uyo jamaa yako anajua kua tunadate, na Hilo grup yeye Ni member. Kwaiyo alivozikuta zile chats akaja kunionyesha.
Nikataka nikupigie uje tukuoneshe, ndo ukadengua ukaniblock. Ndo nikaamua kukulipua akili ikukae sawa.

Nikijua Lazima TU utanitafuta.
Akaniomba msamaha kua mahusiano pale kwa yule jamaa alikosea Sana na anajuta, na kumbe alikua Ni ulaghai TU afu kumbe mdhalilishaji Sana.
Nikamwambia mpotezee TU. Hizo ndo changamoto za kudate na watu wasiojielewa. Akasema POA.

Ila nikamsisitiza kwamba,
Kama bado unawatu unadanga nao uko mitaani, Basi nakupa mwezi mmoja tu malizana nao Kisha utanambia, na ukinificha ntajua TU afu nakupiga chini mazima. Akasema sawa yeye Yuko Safi ni uyo jamaa tu. Nkasema poa. Ikaisha hivo.

Sasa Huwez amini yule mwanamke anamchukia sana yule jamaa mpk Leo hii, ile mipango ya ndoa yao ikawa ndo imeyeyuka hivyo. Nikaendelea kujilia mchepuko wangu kwa Raha.

Baada ya Lile tukio, nikahisi mtaani pale sio salama Tena yule mchepuko kuenjoy nae Tena. Nikaenda mpangishia mbali kabisa na pale kwao akaanza maisha mapya ya kujitegemea nikawa najilia mpk leo hii.

SEMA NDO HIVYO,
NILIINGILIA MAHUSIANO YA WATU WAKAPARUANA WAKAACHANA.
Kiukweli, Jamaa anisamehe Sana ,
The world is always not fair

Kisa kingine nilishasimulia humu,
Ni kile Nilichomtengenezea kesi ya kuibiwa pesa za sheli , jamaa wake akapasuka pesa mfukoni ili amnusuru mpenz wake afu bado kesi haiishi, afu mwanamke haelewi.
jamaa alipoishiwa pesa, uzalendo ukamshinda akamkimbia mwanamke.
Mwanamke akarudi kwangu anaomba msaada nikamsaidia pesa, afu nikamsaidia akarudishwa kazini Nikaendelea tena kujilia tena mzigo wangu

Anyway,
sio kila mahusiano lazima yaende kwa neema za bwana, Mengine Lazima uforce ili upate unachotaka.

Mwenye kisa kingine nae atiririke...

Mwisho
Nakutafuta nikumalize kumbe ndio ww.
 
DeePond una chembe chembe za ujasusi ila nimeipenda nitakuwa naomba ushauri kwako endapo nikihitaji kufanya linalofanana na hilo.
 
Ha ha ha ....
Ni survival for the fittest.

Binafs Hii tabia nmeanza tangu Niko sekondari, napenda sna mashindano hasa Aya ya kupindua meza
Kaka omba usikutane na wazee wa kangwiru kutoka ujiji visasi vyao waga vya ziwa tanganyika!!!Utajuta kupindua meza zao🤣🤣😂😂
 
Kawaida Sana,
Binafs nmeshajiandaa kwa karma maana mi mwnyw ni mafia.

Afu hi tabia mbona mi mwnyw nmefanyiwa Sana TU.
1. Jamaa flani alikua Kaka mkuu tuko primary Mimi std 6 yeye STD 7, afu Dem mwnyw STD 7 anaitwa linah.
Jamaa alinifayia umafia alkua na mwili mkubwa akawa. akinitisha niachane na mwanmke wangu wkt Mimi ndo nmeanza nae mahusiano. Nikienda kushtaki kw walimu hawanielewi wanamtetea kwa kua ni Kaka mkuu. Uonevu ulizidi mpk nikasalimu amri nikamwambia mdada kua tuachane uendelee na jamaa TU yamenishinda.
Jamaa kweli akamchukua Nikabaki na maumivu yangu mpk namaliza primary.

2. Jamaa flan mwngn alkua na duka la nguo (BOUTIQUE) Pale sinza jiran na kwa Dem wangu wa kwanza zamani enzi hizo anaitwa TINA Nikiwa sekondari.
Jamaa akanambia Dogo Sina tatiz na ww, Dem wako yeye ndio anapenda pesa zangu.Na Wewe tafuta pesa. Na kweli mwanamke yule alinipiga chini. Akawa anapewa nguo na pesa bure. Tulipomaliza form iv Dem yule Akaanza kujiunga kwny Mambo ya umiss, akaenda nje ya nchi kwny Mambo ya mitindo, skuhz sijui akaja kuishia wapi.
Kaka mafia wanajitangaza jamii forum????Sema umekutana wanyonge afu hawana hela !!!Ukikutana na wazee wa pangusa upanguswe utaelewa namaanisha nini!!!Anyway story yako imenipa funzo kuhusu uanaume
 
Hii ishu sio yangu ila nilisimuliwa na dereva wa bodaboda jinsi madereva wajanja wa boda/bajaji/taxi wanavyofanya wakipata abiria wa kike pisi kali hususani akiwa ndo anaenda kwa mchizi mara ya kwanza.

Mchezo huwa unaanzia pale boda anapopewa simu ili apokee maelekezo kutoka kwa mchizi kuhusu njia ya kupita kumpeleka mrembo geto.

Dereva mjanja akishapokea simu kama hiyo tu, kichwani anakuwa ashapigia mstari kuwa hii ngoma anaigeuzia njiani (kama ngoma ameielewa inalipa).

Anachofanya ni kabla hajampa yule demu simu ni anablock ile namba ya mshkaji halafu anaweka simu airplane mode. Wako fasta sana katika hiyo kazi, demu anakuwa anaongeleshwaongeleshwa hashtukii.

Kama akiona demu kanogewa sana na stori anambadilishia kabisa namba ya mshkaji anaweka namba yake yeye halafu simu yake anaipiga silenti.

Basi wakifika sehemu fulani ya kuingilia sasa ndani ndani si inabidi wasimame kupata maelekezo zaidi, basi hapo ndo episode ya pili inaanza.

Kama namba ilibadilishwa kabisa basi hapo ndo demu anang'olewa kirahisi sana. Maana atapiga weeeee inaita tu inaita tu.

Jamaa hapo atachomekea kwamba jamaa atakuwa na demu. anaweza hata akanogesha stori kuwa hiyo sauti ya jamaa kwenye simu sio ngeni sana na anamjua jamaa kwa kuleta mademu kila siku.

Basi demu atanuna kidogo halafu atapiga tena inaita tu haipokelewi. Ikifika hapo ndo jamaa anakuwa ashapata chansi ya kuchomekea voko zake.

Unakuta demu kwa hasira ya alichofanyiwa na mshkaji anamkubalia jamaa waondoke kwenda anakotaka.
Chai
 
Maisha haya hayawez kuisha changamoto

Me mwenyewe nilishawah kuwanyanganya masela mademu wakwanza alikuwa na manz wanapendana vizur tu ile urafiki akasema ngj akanitambulishe kwa shem ile tumeenda tunafika nakuta mali inalipa akanitambulisha pale BTW yule demu nilikuwa nafahamiana nae kdg tu alivyonitambulisha ndo tukafahamiana zaidi namba yake nilikuwa nayo sijui jini gan aliingia baada ya kutambuliswa tu nkaona huyo imnabd awe wangu siku hazikupita nyingi mwenye mali akawa shemeji nawashauri wanaume baada kwanza tutafute hela then tujarbu kutengeneza jina na vikazi vya kuzugia ofcn

wa pili huyu had now niko nae alikuwa na watu wake sio mmoja kama kawaida nilivyokuwa natoka kazini nampitia kwao tunapiga story kdg mida ya night akija mtu wake anakuta niko nae bas akaona nikama anampotezea sikufanya figisu kuwaachanisha nilimjaza maneno nae akajazika
Siku zikapta akahamia kwangu kabisa ingawa huwa wanaongea nikiwa sipo na hajui kama simu yake niliweka auto call record wakiwa wanaongea
!!
 
Back
Top Bottom