Ushaurii kwa wanaoishi nje ya nchi

Mavindozii

JF-Expert Member
Oct 20, 2012
1,098
2,000
Wakuu wa nchi Natumaini mnaendelea vizuri na maandalizi ya Christmas ,Yamenikuta wakuu zangu .Nilikuwa Naishi USA napiga kazi ya box kwenye store moja inaitwa Sams club ,nikamwachia kaka mkubwa nyumba yangu iliyoko Arusha Tanzania, ili aweze kunisaidia kuchukua kodi na kuiangalia kwa MATENGENEZO ,kila nikimpigia simu anaongea vizuri sana sana anasema hela anaweka Bank Crdb ,Nikanunua Landcruaser Prado TX diesel engine.

Nikiwa Arkansas ,nikamwambia awe anaitumia kwa kwenda kanisani na kutokea siku moja moja kwa roho safi .Mungu wangu alichoifanyia ni kuikodishia kwa watu wa hizi minara ya simu kwa ajili ya service hii minara ,yaani kwa miezi 6 Gari ilikuwa haifai kabisa .

Hela hamna wakuu zangu .kodi ya nyumba badala ya kuweka bank ,anafanyia starehe ,.NAWAOMBENI NDUGU ZANGU mnaoshi Ugaibuni muwe makini sana sana na hela mnazotuma kwa ajili ya investment hapa Tanzania zinaangukia kwa mtu mwaminifu La sivyo utakuja kulia .KWA USHAURII WANGU KAMA UNATAKA KUJENGA NYUMBA KUSANYA HIYO HELA .CHUKUA LIKIZO YA MWEZI AU ZAIDI ILE LIKIZO BILA MALIPO .uje kusimamia mwenyewe ,ukiishia kwenye lenter rudi zako Ugaibuni ,ukipata tena likizo njoo imalizie wakuu zangu .

Kitendo cha kutuma hela wakati wa kuichukua lazima apate beer na nyama choma na kuifanyia starehe penda usipende ,.wengine wanakutumia picha ya nyumba ya mtu mwingine ambayo iko hali nzuri anakuambia ni ya kwako .Ngoja uje basi kama hutaangua kilio ,Nyongeza usikubali kuanzisha biashara hapa Bongo bila wewe kuja mwenyewe na kufanya research kidogo. Niko Arusha kwa miezi 8 nitarudi USA tena .kama utahitaji msaada please let's me know if I can help .

SINGEPENDA kuona Ndugu zangu mnaoishi Ugaibuni mnapata haya yaliyonikuta ,Inbox me for any assistance please.
 
Gaspare Mbile

JF-Expert Member
Aug 30, 2016
1,568
2,000
Niunganishe mchongo wa kubeba box na mimi nipate hayo mavumba,bongo hapa mukuru kakaza ajira.
 
Olecranon

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
1,383
2,000
Wakuu wa nchi Natumaini mnaendelea vizuri na maandalizi ya Christmas ,Yamenikuta wakuu zangu .Nilikuwa Naishi USA napiga kazi ya box kwenye store moja inaitwa Sams club ,nikamwachia kaka mkubwa nyumba yangu iliyoko Arusha Tanzania, ili aweze kunisaidia kuchukua kodi na kuiangalia kwa MATENGENEZO ,kila nikimpigia simu anaongea vizuri sana sana anasema hela anaweka Bank Crdb ,Nikanunua Landcruaser Prado TX diesel engine. Nikiwa Arkansas ,nikamwambia awe anaitumia kwa kwenda kanisani na kutokea siku moja moja kwa roho safi .Mungu wangu alichoifanyia ni kuikodishia kwa watu wa hizi minara ya simu kwa ajili ya service hii minara ,yaani kwa miezi 6 Gari ilikuwa haifai kabisa .hela hamna wakuu zangu .kodi ya nyumba badala ya kuweka bank ,anafanyia starehe ,.NAWAOMBENI NDUGU ZANGU mnaoshi Ugaibuni muwe makini sana sana na hela mnazotuma kwa ajili ya investment hapa Tanzania zinaangukia kwa mtu mwaminifu La sivyo utakuja kulia .KWA USHAURII WANGU KAMA UNATAKA KUJENGA NYUMBA KUSANYA HIYO HELA .CHUKUA LIKIZO YA MWEZI AU ZAIDI ILE LIKIZO BILA MALIPO .uje kusimamia mwenyewe ,ukiishia kwenye lenter rudi zako Ugaibuni ,ukipata tena likizo njoo imalizie wakuu zangu .Kitendo cha kutuma hela wakati wa kuichukua lazima apate beer na nyama choma na kuifanyia starehe penda usipende ,.wengine wanakutumia picha ya nyumba ya mtu mwingine ambayo iko hali nzuri anakuambia ni ya kwako .Ngoja uje basi kama hutaangua kilio ,Nyongeza usikubali kuanzisha biashara hapa Bongo bila wewe kuja mwenyewe na kufanya research kidogo. Niko Arusha kwa miezi 8 nitarudi USA tena .kama utahitaji msaada please let's me know if I can help .SINGEPENDA kuona Ndugu zangu mnaoishi Ugaibuni mnapata haya yaliyonikuta ,Inbox me for any assistance please.
Pole sana ndugu yangu na asante kwa ushauri. Hili jambo lilijulikana siku nyingi kiasi kwamba nimeshangaa ulifanya hii kitu. Hata mzazi wako kumwamini kwa hili linahitaji moyo.
 
Nyankuzi

JF-Expert Member
Nov 3, 2016
466
500
Wakuu wa nchi Natumaini mnaendelea vizuri na maandalizi ya Christmas ,Yamenikuta wakuu zangu .Nilikuwa Naishi USA napiga kazi ya box kwenye store moja inaitwa Sams club ,nikamwachia kaka mkubwa nyumba yangu iliyoko Arusha Tanzania, ili aweze kunisaidia kuchukua kodi na kuiangalia kwa MATENGENEZO ,kila nikimpigia simu anaongea vizuri sana sana anasema hela anaweka Bank Crdb ,Nikanunua Landcruaser Prado TX diesel engine. Nikiwa Arkansas ,nikamwambia awe anaitumia kwa kwenda kanisani na kutokea siku moja moja kwa roho safi .Mungu wangu alichoifanyia ni kuikodishia kwa watu wa hizi minara ya simu kwa ajili ya service hii minara ,yaani kwa miezi 6 Gari ilikuwa haifai kabisa .hela hamna wakuu zangu .kodi ya nyumba badala ya kuweka bank ,anafanyia starehe ,.NAWAOMBENI NDUGU ZANGU mnaoshi Ugaibuni muwe makini sana sana na hela mnazotuma kwa ajili ya investment hapa Tanzania zinaangukia kwa mtu mwaminifu La sivyo utakuja kulia .KWA USHAURII WANGU KAMA UNATAKA KUJENGA NYUMBA KUSANYA HIYO HELA .CHUKUA LIKIZO YA MWEZI AU ZAIDI ILE LIKIZO BILA MALIPO .uje kusimamia mwenyewe ,ukiishia kwenye lenter rudi zako Ugaibuni ,ukipata tena likizo njoo imalizie wakuu zangu .Kitendo cha kutuma hela wakati wa kuichukua lazima apate beer na nyama choma na kuifanyia starehe penda usipende ,.wengine wanakutumia picha ya nyumba ya mtu mwingine ambayo iko hali nzuri anakuambia ni ya kwako .Ngoja uje basi kama hutaangua kilio ,Nyongeza usikubali kuanzisha biashara hapa Bongo bila wewe kuja mwenyewe na kufanya research kidogo. Niko Arusha kwa miezi 8 nitarudi USA tena .kama utahitaji msaada please let's me know if I can help .SINGEPENDA kuona Ndugu zangu mnaoishi Ugaibuni mnapata haya yaliyonikuta ,Inbox me for any assistance please.
Pole sana mkuu mbeba box
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom