P poor tz New Member Jan 29, 2014 2 0 May 23, 2014 #1 Nilisoma degree isiyo na market sasa nimeapply pharmacy, hivi inawezekana kupata mkopo kutoka HESLB mara ya pili kabla ya kulipa wa kwanza?
Nilisoma degree isiyo na market sasa nimeapply pharmacy, hivi inawezekana kupata mkopo kutoka HESLB mara ya pili kabla ya kulipa wa kwanza?
C CSC Member Aug 11, 2013 79 16 May 24, 2014 #2 Mmm, nijuavyo mimi angalau uwe umeanza kulipia ule wa kwanza