Ushauri.

ZABRONE JUSTINE

Senior Member
May 19, 2013
122
23
Nna mpenz wangu 22 mi 26,mi mwanachuo na yye n 4m6 leaver,hatu ish pa1,mi dsm ye mza,n mwaka tangu tuachane mwaka jana,mi kuja xvle,anapenda xana tufanye mapenz lakn mi namwambia axubr had tufunge ndoa ndo tukutane kmwili huwa analia xana na anataka
 
Kwanini wewe unataka kusubiri hadi muoane? any reason?
Tafadhali nijibu kwa maneno, sio ki-sms, napata tabu kuelewa
 
Kwanini wewe unataka kusubiri hadi muoane? any reason?
Tafadhali nijibu kwa maneno, sio ki-sms, napata tabu kuelewa

Unasubiri jibu kwa sharobaro? huoni uandishi? ni wa great thinker? Jaman si lazima kujiunga jf, fb inatosha kabisa.:focus:
Katika hilo, ukiona hakusumbui tena, ujue amepata mjanja anamega, wewe subiri siku ya ndoa, nadhan ndo utakuwa umetoa mkono wa sweta, nadhan unaogopa asiuone saiv.
 
Mtoa Uzi amenichosha na style take ya kuandika kama sms. Sisi wengine na umri hui hatuwezi kufikiri sana kuyaelewa hayo maneno.... Labda enzi sole wakati niko form two.
 
Nna mpenz wangu 22 mi 26,mi mwanachuo na yye n 4m6 leaver,hatu ish pa1,mi dsm ye mza,n mwaka tangu tuachane mwaka jana,mi kuja xvle,anapenda xana tufanye mapenz lakn mi namwambia axubr had tufunge ndoa ndo tukutane kmwili huwa analia xana na anataka

Kikawaida wanaume ndio wanaomba kwanza halafu wadada wanakataa wakisema tusuburi ndia au tusubiri kidogo, lakini kama huyu ametaka halafu wewe unasubiri watafuta majanga.. hukupaswa kusuburi hata usiku huo uishe....!!!!
 
Xaxa ww untakj?

Rkbisha kwanza uandsh wk kbl ya kuomba ushr

Pia hp co fb

Uc2choshe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom