ushauri

anchor

Member
Dec 30, 2012
6
0
nifanye nini ili niache kupiga punyeto? jamani mimi ni mvulana 26 miaka nimeanza kupiga nyeto tangu kidato cha tatu hadi sasa nipo chuo najaribu kuacha nashindwa pia nakosa kujiamini napotaka kumtokea mwanamke ninayempenda zaidi ya kumpigia nyeto ukweli sina grl friendy until dis tym na nimeshakubaliana na khali iliyopo jamani nifanyeje ndugu zangu?
 
Uvulana unaishia pale unapoanza kupiga kura, na punyeto pia. Wewe sasa ni mwanaume, oa ili uwe unatenda tendo la ndoa.
 
Weka nia ya kuacha lkn pia mshirikishe Mungu ktk hili maana wengine hali hiyo huwa inaambatana na nguvu za giza au inakua adiction. Sasa kama tayari umeshakua addicted lazima iwe ngumu kuacha , jitahidi kutafuta msichana unaempenda , usiogope wewe waulize kina mzabzab namna ya kupata/kutongoza msichana watakuassist i believe.
 
Last edited by a moderator:
"Sow a thought, reap an action. Sow an action, reap a habit. Sow a habit, reap a character. Sow a character, reap a destiny." Mkuu ziweke sawa na fikira zako.
 
Weka nia tu,utaseka mwanzon lkn badaye utaweza pia badili mtazamo wako badala ya kuliona hilo jambo zuri la kufurahisha anza kulichukia toka ndani lichukie kabisa toka moyoni mwako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom