Ushauri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri

Discussion in 'Love Connect' started by DJ Imma, Jun 25, 2012.

 1. D

  DJ Imma JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 237
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  jamani naomba msaada wa nini cha kufanya:-

  nilikuwa na girlfriend ambaye nilikaa naye kwa miaka mingi sana na nilikuwa na future naya but ilitokea bahati mbaya nikamokosea kwa kuwa na uhusiano na girl mwingine!! aliumia na kulia sana, tuliachana kabisa ikapita kama miezi 6 tukarudiana but ikatokea mtu akamwambia nina girl mwingne, bila yeye kufatilia akaamua kutengana tena na mm!! nilipo mwona yupo serious niliamua kumsahau kabisa!! nikapata girl mwingine ambaye nilimtambulisha kwa ndugu zangu bt ikatokea kikwazo cha dini ambapo ilifikia bint kuanza kutengwa na ndugu zake,, me nikaona sio vzur kutengwa coz hata nikiwa naye bila baraka za ndugu zake inaweza tokea tatizo bikajikuta napata shda zaid,,,,nikaamua kumwacha kabisa!! baada ya miezi 4 akaanza kunisumbua kuwa hawez ishi bila mimi na ndugu zake washa mwelewa,,,but me nishamtoa kabisa katika nafsi yangu, the same time girl wangu wa kwanza naye anasema hivyo hivyo na ki ukweli nishapoteza future zangu zote kwake!! now nipo katka harakati za kutafuta girl ambaye atakuwa wife na cjapata mpaka muda huu......naomba ushauri nifanyeje jamani???
   
 2. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #2
  Jun 25, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,963
  Likes Received: 1,852
  Trophy Points: 280
  Nimekugongea like si kwasababu umenikosha roho la hasha bali kwasababu umetumika kama ubao kwa wanaume wenye tabia ya ukware kama yako.

  ancient idoms reads "the rolling stone gathers no moss"

  thats all i can tell but nitarudi baadae nikupe ushauri wa kitaalam. na hii ni baada ya kusoma na kupata concept ya nilichokisema hapa otherwise mwalimu leo, atasusa kukufundisha.
   
 3. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #3
  Jun 25, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  huwa unanimaliza na maneno yako, ushauri wako, kha! nimegongea like sio kwasababu umeongea pointttttttt, ila kwasababu we ni kungwi! lol!
   
 4. jamiif

  jamiif JF-Expert Member

  #4
  Jun 25, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 2,417
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  mh, mkuu usitudanganye, hukuwa na future na binti yeyote hapo kwani ukitibuana na mtu akisema anakuacha km kweli unampenda utamfuta mawazoni kana inavyodai? ni ninakushauri (kutokana na style yako ya maisha niliyoiona hapa) endelea kwanza na starehe zako na hao mabinti hadi hapo utakapomaliza ndio labda ufikirie kutafuta mke...maana haiwezekani mtu unamuacha leo mara fasta una mwingine tayari!wewe hujamaliza starehe zako, maliza kwanza!
   
 5. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #5
  Jun 25, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,963
  Likes Received: 1,852
  Trophy Points: 280
  kha! na wewe cacico. kungwi siku zote huwa anaongea point bana lolest. vp job best?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #6
  Jun 25, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Una umri gani kamanda?
   
 7. D

  DJ Imma JF-Expert Member

  #7
  Jun 25, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 237
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  sio kweli kaka!! me nipo safi kabisa na nimejaribu ku mwomba sana huyo gal wa kwnza na hajanielewa,,,,,and kumbuka mm pia ni mwanaume mwenye hisia!!
   
 8. D

  DJ Imma JF-Expert Member

  #8
  Jun 25, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 237
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  NO. me sio mtu wa ku change kama unavyodhani!! nilimwomba sana x gal wangu but seriously alionyesha hataki tena mahusiano na mm!!
   
 9. D

  DJ Imma JF-Expert Member

  #9
  Jun 25, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 237
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  27 now
   
 10. D

  DJ Imma JF-Expert Member

  #10
  Jun 25, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 237
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  your RONG!! me sio wa hivyo
   
 11. jamiif

  jamiif JF-Expert Member

  #11
  Jun 25, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 2,417
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  basi achana na mambo ya wasichana, tulia sali kwa Mungu wako akujaalie huyo utakayekuja kumuita mke...usiwe desperate sana.
   
Loading...