Ndugu zangu chuo kikuu cha bagamoyo kina mfadhili wa kusomesha wanachuo wa hapo? kwani programme hata za education zinagharimu pesa za kitanzania kiasi cha shilingi 4990000/=kwa mwaka kama hakuna je,mtanzania wa kawaida ataweza kumudu gharama hii au kipo kwa ajili ya watu wa nje? ninaomba mnisaidie kwa mie ni mmoja wa wliochaguliwa.