Ushauri

kush moker

JF-Expert Member
Feb 11, 2016
579
367
Wakuu.
Naomba kuuliza kwa wenye uzoefu maeneo ya mkoa wa pwani,kama bagamoyo mpaka msata hayo maeneo kilimo cha maharage kinakubali huko?
 
Wakuu.
Naomba kuuliza kwa wenye uzoefu maeneo ya mkoa wa pwani,kama bagamoyo mpaka msata hayo maeneo kilimo cha maharage kinakubali huko?

Maharage husitawi vizuri maeneo ya baridi, maeneo ya mkoa wa Pwani yana joto karibu kipindi chote cha mwaka mzima. Joto husababisha kiasi kikubwa cha maua kudondoka na mavuno kuwa machache yasiyolipa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom