Rav 4 new model vs Vanguard

Mgomele

Member
Nov 12, 2016
61
106
Kati ya RAV 4 NEW model na VANGUARD ipi Iko;
A) imara zaidi
B) economic katika fuel consumption
 
Nakushauri juu ya rav4. Maana ile unaweza kwenda nayo hata off-road

Lakini vanguard haiwezi himili mikiki mikiki kama inavyoweza rav-4
 
Rav 4 na vanguard hazifanani kweli jaman??
Vanguard ni upragraded version ya Rav4, yaani unaweza kusema ni rav4 yenye body kubwa. utofauti upo kidodo sana, rav4 yenye body ndogo kabisa na size ya injini ndogo inaitwa Toyota Rush, halafu rav 4 yenyewe ni size ya kati, ikifuatiwa na Vanduard size kubwa body na Injin, ukiiangalia kwa ndani vanguard na rav4 toleo la 2009 hazina utofauti wowote ule,kila kitu kiko sawa
 
Walichokosea ni kuwa Vanguard hakuna spare tire. Ndiyo maana jamaa yangu akanunua mlango wa Rv4 new model
 
Walichokosea ni kuwa Vanguard hakuna spare tire. Ndiyo maana jamaa yangu akanunua mlango wa Rv4 new model
Mm Nina vanguard V6 ENGINE INA spare tire kaka...inategea na version ipi ktk soko kaka. European and US versions zina spare tire brother
 
Hivi ukiifunga una kaa bila kufanya modification
Hakuna modification mkuu,mlango unafiti sawasawa kabisa. Vanguard hawajaweka slots za nati kuweza spare tairi kukaa mlango wa nyuma. Ila ukubwa na kila kitu ni sawa.
 
Mm Nina vanguard V6 ENGINE INA spare tire kaka...inategea na version ipi ktk soko kaka. European and US versions zina spare tire brother
Ok,sina uhakika sana kwa hilo. Lakini yawezekana. Ila nyingi mlango wake hakuna sehem za kuweka Tairi. Na inatajwa ilifanyika kwa makusudi,kwa maana zina mfumo fulani wa kujaza upepo tairi iliyopata pancha,ila sijafanya utafiti how au kama ni kweli.
 
Back
Top Bottom