Ushauri yanayotoka yanayotoka mbali yaishie Morogoro

Nkungulume

JF-Expert Member
Nov 25, 2015
2,988
1,208
Wakuu nilikuwa nikisafiri na basi kutoka Mwanza kwenda Dar.
Mabasi takrabani yote yamezuiliwa Morogoro kwa kweli ni usumbufu mkubwa maana safari ni ndefu halafu wameka maeneo mengine mabasi yanatakiwa yatembee speed hadi 20 lakini madereva wakipata nafasi huo usiku mwendo wanaokwenda ni balaa.

Nini ushauri wenu wakuu naomba tuchangie mawazo kwa wale ambao hamjalala tulizingatia kuwa kesho ni siku ya mapumziko.
 
Back
Top Bottom