Ushauri: Wenye uelewa wa magari nataka kuchukua moja kati ya hizi

osama BLD

JF-Expert Member
Oct 4, 2016
561
294
Kati ya
1 Nissan hard body
2 Ford ranger
3 toyota
4 voxwagen amarock

Sasa mimi napendelea hard body na wengi wameniambia kama nataka ya kudumu na ngumu nichukue hard body na moto wake sio kidogo na stability yake pia unakata sahani iko stable
Naomba watalamu muje
 
Kwanza unafaranga ngapi lakini Ford Ranger Na VW ni habari nyingine kwa mwendo kasi
 
Hard body ni habari nyingine kati ya hizo.

F. Ranger ni nzuri kwa appearance tu.

VW Amarok ni brand inauza. Ila sio za kuziamini sana.

Ukiacha Hard body unaweza kuiweka Navara. Nayo sio mbaya.

Then, hilux ndo inafuata.
 
Bro mi ni fundi wa magari,hasa za europe,ford na amarok nimekutana nazo.
Kwa experiance yangu gari inahitaji matunzo tu na utunzaji wa gari unatofautiana na gari na gari,nakusahuri nunua lolote likiwa kwenye condition nzuri,mpatie fundi alie specialize na hiyo gari aikague vizuri,both electrical and mechanical.
Then fuata workshop manual ya gari basi.
 
Kwa jinsi yoyote ile...Toyota ni sahihi sana kwako na hasa ukizingatia Kata, Wilaya, Mkoa, Nchi na Bara unaloishi....
 
ford ranger mpunga mrefu. si ndo Kama ile bashite aliyo hongwa na home shopping center
 
Mi mpaka sasa hivi namiliki hard body high spec tangu 2009 mpaka Leo inadai hapo nilipouliza ushauri Nilienda cmc pale nikihitaji ranger nikasema ni gari kwa ajili ya safari za masafa maana napiga safari za khatoum Maputo Kenya mogasishu na Wanga na Botswana nikiondoka Dar mpaka nirudi miezi 2 3 mpaka nikirudi nina km karibu alf20000 wakaniashauar hard body nikawambia ninayo wakasema nikipenda roho ila wao wqmenishauri...
 
Alafu bei yake ndogo ni btw 85 nad 90 million sema spear balaaa ila nataka tena nirudie maana nilionayo kwa sasa ina km lak380.000 ila bado inavuta kshnz
 
Kwa jinsi yoyote ile...Toyota ni sahihi sana kwako na hasa ukizingatia Kata, Wilaya, Mkoa, Nchi na Bara unaloishi....
Toyota ndio sihitaji Bro hata kwa dawa kama ni nembo ya Toyota itakuwa land cruser pickup single
 
Kati ya
1 Nissan hard body
2 Ford ranger
3 toyota
4 voxwagen amarock

Sasa mimi napendelea hard body na wengi wameniambia kama nataka ya kudumu na ngumu nichukue hard body na moto wake sio kidogo na stability yake pia unakata sahani iko stable
Naomba watalamu muje
Kwenye toyota hapo hujataja toyota gani.
 
Back
Top Bottom