Ushauri wenu unahitajika maana akili yangu imegota

Poa
Usisahau kuniombea mkuu
Shetani huyo asiwe na nafasi

Thanks kwa ushauri mzuri
Anza kuikataa hiyo hali ukiiendekeza atakuja kujikuta unavuruga familia yako na hiyo hot unayoitafuta kule ukaikosa kaa chini fikiri upya kwanini ulimpenda zamani na kwanini unahisi saiz humpendi nini kimepungua suluhisho sio kukimbia nooo, kaa urekebishe rudisha upendo wako wa mwanzo, irudishe thamani kwa mkeo utamuona ni bora kuliko unaowatafuta
 
hebu njoo inbox nikusaidie,unaelekwa kubaya sana,na usipoangalia ama utakufa au kuokota makopo
 
Back
Top Bottom