Ushauri wenu unahitajika maana akili yangu imegota

maelezo mengi ila tatizo ni kwamba shemeji hana mvuto si ndio??! Na ndio maana unavutiwa na young hot chicks.

Sasa wewe fanya juu chini apate mvuto kama ni gym aanze, kama ni diet poa, kama ni outfits za ki-teens mnunulie ili awe vile moyo unataka
 
Salaam wakuu

Kwa heshima kubwa naomba mchango wenu wa mawazo katika hali hii ninayoipitia .

Iko hivi, ni mwaka wa tano sasa niko kwenye ndoa. Mke wangu na mimi wote tunalingana kiumri ila kama ujuavyo ke wana mwili mkubwa , ukituangalia tukiwa wote mke wangu anonekana mkubwa.

Katika hili naomba niwe wazi , mimi ni miongoni mwa wanandoa walioingia ndani ya ndoa kwa nguvu za mazingira na sio mapenzi ki vileeee....japo niliamini things gona work.

Kiukweli mke wangu yuko serious na maisha ya ndoa...achilia mbali kasoro ndogo ndogo ambazo kila couple uzipitia kama ubabe na much know sanaa......

Jambo hasa ninalohitaji mchango wa mawazo yenu ni hiki kilichonitokea kwa takribani miaka miwili sasa. Nimepoteza affection juu ya mwenza wangu, sijisikii comfortable ata kutoka nae out, akikosea kidogo ule uvumilivu umepungua ....najikuta namcomfront hata mbele ya kadamnasi. Kifupi chemistry kati yetu imeondoka kabisa.

Ili limepelekea kuwa stressed zaidi....napenda kuwa nje ya home zaidi na actually my work ndio imekuwa kama substitute ya mke wangu. Natoka alfajiri narudi too late.

Kinachoniogopesha ni tabia mpya ambayo pia imeanza kunitokea , napenda young hot ladies , iwe kazini au kitaa. Kifupi wasichana wenye mvuto wananiteka mwa kasi sana, sijaanza kucheat...Ila dalili zote ziko wazi mimi ni mzinifu ndani ya nafsi kitu ambacho kimezidisha kupunguza mvuto kwa mke wangu.

Nikijumuisha mambo yote haya naweza sema I'm no longer in love with my wife and my marriage is falling apart .

Sasa wakuu kwa nia njema kabisa, naomba kuwasilisha masaibu haya nayoyapitia katika dunia ya mapenzi Ili unisaidie kutafuta solution.

Naamini platform hii ina watu wenye uzoefu tofauti na hili langu uenda watu wanalipitia au wameshawahi kulipitia na wakashinda. Ebu tupeane way forward wakuu.

Thanks

Kind regards
Kijana nakushauri angalau mara 1 kwa mwezi uwe unaenda hotel tulivu na mkeo mnalala huko, ongea nae kwa uwazi kuhusu mambo ambayo yamefanya upoteze mvuto
 
Kwanza nikupongeze kwa moyo wako maana umeshaona tatizo na umekimbilia kuomba msaada namna ya kulitatua ili uweze kuitunza familia yako happily.

Pili pole kwa hayo yanayokukuta,kwenye ndoa kuchokana kupo ispokuwa inabd uvumilivu tu.
Kama kuna mambo ambayo unayaona yamepungua inatakiwa ukae na mama watoto wako myazungumze na kama yanakuzidi zaidi pia nenda katafute busara za wakubwa (baba na wazee) naamini utachota busara chache.
Last but not least Hebu mkumbuke Mungu na omba kwa ajili ya familia yako.
Sometime you can spend all your time chasing things from outside and far away and at last baada ya kuvunjika you realise the thing you were chasing this whole time was alongside you all this time and by that time inakuwa too late.
Pole sana and God bless you.
 
Iwe ulioa kwa kupenda kwako au kwa sababu za kimazingira mwisho wa siku maisha lazima yaendelee.
Katika maisha ya ndoa hali kama hiyo hutokea na kila mmoja huipokea kwa namna yake.

Mwanamke hubadirika sana hasa akisha olewa, hali ya kiuchumi, uzazi na mabadiriko ya kimazingira yanayo weza pelekea pia mabadiriko ya kitabia humfanya mwanamke awe tofauti sana, tofauti na mwanzo.
Mabadiriko haya yanaweza kuleta matokeo hasi au chanya,

Katika kipindi kigumu na kinacho hitaji uvumilivu ni hiki, kitu muhim ni kutojiingiza ktk serious relationship, fikiria kuhusu future ya familia yako na dumisha mapenz yako kwa watoto zaidi.
Usitumie muda mwingi kufikiri kuhusu mkeo, amini ulisha muoa na kumfanya mkeo, mpe heshima yake na usioneshe kumchukia dhahir.

Kila alieanzisha vita na mwanamke aliishia kuanza maisha upya, si kitu kibaya kuanza ila si nzuri sana for the future of the family, as long as mkeo anakuheshim na yuko serious na maisha ww fanya kumvumilia tu.

We fall in love with people's flaws, The perfect person would be impossible to love"
 
Kwanza jua ndoa ni ndoa regard uliingia kwa sababu gani ndoa ni ndoa.sikushauri utafute talaka,talaka ni kitu kisichotoka akilini no matter how happy will you be.its total psychology torture
First all its normal kupoteza mvuto
Thats how ndoa zilivyo. Ndoa ni kama tasisi ya kazi kuna kipindi unaichoka kazi na kudharau na kuiuliza kwa nini unafanya kazi but you don't quit.

Huwezi solve changamoto za hisia kwa hao young hot ladies... Maana hata hao ukishaqakojolea mvuto hupotea thats human nature.

Solution.
Start to date ur wife hata kama ana umbo baya, take her out,compliment in her beauty,call her several times,text and love her .hisia na affection zitarudi
Mwisho kabisa control ur yongue hupswi kumbwatukia. Hiyo ni kazi ya shetani kutenganisha wanandoa most of all sali na uombe Sana. Happy re onion with your wife.
 
Wekeza kwa mkeo naye awe ana mvuto(unaosema ni mahot ladies,jua kuna watu wamewekeza ndio wakaonekana wana mvuto) hakuna binti asiyekuwa mrembo kwenye pesa;unachotaka kutafuta uko nje ni virusi au?kwa uzoefu,niko 10yrs + na sijutii ni kama vile tumeonana leo.Chukua hatua.
 
Nimekuelewa Sana!!
1.Mwaka wa 5 upo kwenye ndoa
2.Takribani miaka miwili Mkeo hakuvutii.(hujachukua hatua... Haupo serious)
3.Huoni fahari kuwa nae(humjali)
4.Hamuendani(anaonekana mkubwa)..hata hao wengine wanakua
5.Umeanza kupenda hot young ladies(tamaa bada ya kutomjali Mkeo)
6.YOU ARE NO LONGER IN LOVE WITH YOUR WIFE. ( DO SOMETHING,LOVE ALONE IS NOT ENOUGH)
~~
Ushauri
*Kwakuwa mkeo hana tatizo Kitabia(umesema yupo serious sana na ndoa)

Fanya yafuatayo
1.Hakikisha Mkeo anapendeza kaka
(a) Kama muonekano wa ukubwa unasababishwa na unene fanya nae mazoezi apungue na kama ni ukondefu hakikisha anapata lishe bora na usafi wa mwili na mazingira

(b) mfanyie shopping ya mavazi ya kisasa apendeze,avutie,mnunulie vipodozi,manukato,hakikisha nywele zake zinaafya na stylish

2.Ukijiridhisha amependeza nawewe kuwa serious na ndoa yako.
(a) Mfanye mkeo rafiki yako wa karibu (mpange na kuamua pamoja mambo yanayohusu maendeleo na mstakabali wa familia yenu)

(b) Toka nae out ...mle bata wote (utampenda bila limbwata)
~~~~
Usimwache mkeo kaka wenzio hatujaoa tunatamani kupata watu serious tunakosa,wewe umepata unajisahau.Please kuwa serious!!!
 
Kwanza nikupongeze kwa moyo wako maana umeshaona tatizo na umekimbilia kuomba msaada namna ya kulitatua ili uweze kuitunza familia yako happily.

Pili pole kwa hayo yanayokukuta,kwenye ndoa kuchokana kupo ispokuwa inabd uvumilivu tu.
Kama kuna mambo ambayo unayaona yamepungua inatakiwa ukae na mama watoto wako myazungumze na kama yanakuzidi zaidi pia nenda katafute busara za wakubwa (baba na wazee) naamini utachota busara chache.
Last but not least Hebu mkumbuke Mungu na omba kwa ajili ya familia yako.
Sometime you can spend all your time chasing things from outside and far away and at last baada ya kuvunjika you realise the thing you were chasing this whole time was alongside you all this time and by that time inakuwa too late.
Pole sana and God bless you.
Asante ndg
Ushauri wako utazingatiwa
 
Iwe ulioa kwa kupenda kwako au kwa sababu za kimazingira mwisho wa siku maisha lazima yaendelee.
Katika maisha ya ndoa hali kama hiyo hutokea na kila mmoja huipokea kwa namna yake.

Mwanamke hubadirika sana hasa akisha olewa, hali ya kiuchumi, uzazi na mabadiriko ya kimazingira yanayo weza pelekea pia mabadiriko ya kitabia humfanya mwanamke awe tofauti sana, tofauti na mwanzo.
Mabadiriko haya yanaweza kuleta matokeo hasi au chanya,

Katika kipindi kigumu na kinacho hitaji uvumilivu ni hiki, kitu muhim ni kutojiingiza ktk serious relationship, fikiria kuhusu future ya familia yako na dumisha mapenz yako kwa watoto zaidi.
Usitumie muda mwingi kufikiri kuhusu mkeo, amini ulisha muoa na kumfanya mkeo, mpe heshima yake na usioneshe kumchukia dhahir.

Kila alieanzisha vita na mwanamke aliishia kuanza maisha upya, si kitu kibaya kuanza ila si nzuri sana for the future of the family, as long as mkeo anakuheshim na yuko serious na maisha ww fanya kumvumilia tu.

We fall in love with people's flaws, The perfect person would be impossible to love"
Noted with thanks
Asante kwa maangalizo
 
Kwanza jua ndoa ni ndoa regard uliingia kwa sababu gani ndoa ni ndoa.sikushauri utafute talaka,talaka ni kitu kisichotoka akilini no matter how happy will you be.its total psychology torture
First all its normal kupoteza mvuto
Thats how ndoa zilivyo. Ndoa ni kama tasisi ya kazi kuna kipindi unaichoka kazi na kudharau na kuiuliza kwa nini unafanya kazi but you don't quit.

Huwezi solve changamoto za hisia kwa hao young hot ladies... Maana hata hao ukishaqakojolea mvuto hupotea thats human nature.

Solution.
Start to date ur wife hata kama ana umbo baya, take her out,compliment in her beauty,call her several times,text and love her .hisia na affection zitarudi
Mwisho kabisa control ur yongue hupswi kumbwatukia. Hiyo ni kazi ya shetani kutenganisha wanandoa most of all sali na uombe Sana. Happy re onion with your wife.
Stay blessed for coming up with best possible solutions
 
Nimekuelewa Sana!!
1.Mwaka wa 5 upo kwenye ndoa
2.Takribani miaka miwili Mkeo hakuvutii.(hujachukua hatua... Haupo serious)
3.Huoni fahari kuwa nae(humjali)
4.Hamuendani(anaonekana mkubwa)..hata hao wengine wanakua
5.Umeanza kupenda hot young ladies(tamaa bada ya kutomjali Mkeo)
6.YOU ARE NO LONGER IN LOVE WITH YOUR WIFE. ( DO SOMETHING,LOVE ALONE IS NOT ENOUGH)
~~
Ushauri
*Kwakuwa mkeo hana tatizo Kitabia(umesema yupo serious sana na ndoa)

Fanya yafuatayo
1.Hakikisha Mkeo anapendeza kaka
(a) Kama muonekano wa ukubwa unasababishwa na unene fanya nae mazoezi apungue na kama ni ukondefu hakikisha anapata lishe bora na usafi wa mwili na mazingira

(b) mfanyie shopping ya mavazi ya kisasa apendeze,avutie,mnunulie vipodozi,manukato,hakikisha nywele zake zinaafya na stylish

2.Ukijiridhisha amependeza nawewe kuwa serious na ndoa yako.
(a) Mfanye mkeo rafiki yako wa karibu (mpange na kuamua pamoja mambo yanayohusu maendeleo na mstakabali wa familia yenu)

(b) Toka nae out ...mle bata wote (utampenda bila limbwata)
~~~~
Usimwache mkeo kaka wenzio hatujaoa tunatamani kupata watu serious tunakosa,wewe umepata unajisahau.Please kuwa serious!!!
Thanks mkuu
Ushauri wako ni mzuri
Ntajitahidi kufanya yawezekanayo
 
Duh mwingine huyu huku jamani hizi ndoa mbona mnatutisha sana
 
Jamani embu tuanzeni tafuta kitu ambacho ni funny unachoweza Fanya wewe Na wenza wako nadhani huku ndipo atleast kunaweza warudisha pamoja especially mkianza pitia kipindi kama hichi, tatizo tunaona Na kuonana Na watu ambao hawana interest zinazofanana hata kidogo mfano mazoezi ukiwa Na mpz wako mnaenda mazoezi pamoja affection itaongezeka mkigombana au kukwaruzana huku mtaenda pata amani
 
Stay blessed for coming up with best possible solutions
I have been through divorce though sikuwa na mvuto na hisia na mke wangu sikuwai kumuonyesha wala kumuambia. Ingawa atlast alidai talaka it tooks one year kuagree but ingawa sikuwa nae happy.... But still hicho kitu hakifutiki alilini. Ndo maana naamini mapenzi na hisia mindset na vinatengenezwa na akili yako mwenyeww. Tafuta positive things na achana na negative things.ignore all her negativity you will be happy
 
Back
Top Bottom