Ushauri wenu unahitajika maana akili yangu imegota

doppla2

JF-Expert Member
Jun 16, 2014
1,314
1,366
Salaam wakuu

Kwa heshima kubwa naomba mchango wenu wa mawazo katika hali hii ninayoipitia .

Iko hivi, ni mwaka wa tano sasa niko kwenye ndoa. Mke wangu na mimi wote tunalingana kiumri ila kama ujuavyo ke wana mwili mkubwa , ukituangalia tukiwa wote mke wangu anonekana mkubwa.

Katika hili naomba niwe wazi , mimi ni miongoni mwa wanandoa walioingia ndani ya ndoa kwa nguvu za mazingira na sio mapenzi ki vileeee....japo niliamini things gona work.

Kiukweli mke wangu yuko serious na maisha ya ndoa...achilia mbali kasoro ndogo ndogo ambazo kila couple uzipitia kama ubabe na much know sanaa......

Jambo hasa ninalohitaji mchango wa mawazo yenu ni hiki kilichonitokea kwa takribani miaka miwili sasa. Nimepoteza affection juu ya mwenza wangu, sijisikii comfortable ata kutoka nae out, akikosea kidogo ule uvumilivu umepungua ....najikuta namcomfront hata mbele ya kadamnasi. Kifupi chemistry kati yetu imeondoka kabisa.

Ili limepelekea kuwa stressed zaidi....napenda kuwa nje ya home zaidi na actually my work ndio imekuwa kama substitute ya mke wangu. Natoka alfajiri narudi too late.

Kinachoniogopesha ni tabia mpya ambayo pia imeanza kunitokea , napenda young hot ladies , iwe kazini au kitaa. Kifupi wasichana wenye mvuto wananiteka mwa kasi sana, sijaanza kucheat...Ila dalili zote ziko wazi mimi ni mzinifu ndani ya nafsi kitu ambacho kimezidisha kupunguza mvuto kwa mke wangu.

Nikijumuisha mambo yote haya naweza sema I'm no longer in love with my wife and my marriage is falling apart .

Sasa wakuu kwa nia njema kabisa, naomba kuwasilisha masaibu haya nayoyapitia katika dunia ya mapenzi Ili unisaidie kutafuta solution.

Naamini platform hii ina watu wenye uzoefu tofauti na hili langu uenda watu wanalipitia au wameshawahi kulipitia na wakashinda. Ebu tupeane way forward wakuu.

Thanks

Kind regards
 
mpeleke gym
tapatalk_1544266636863.gif
 
Ume fall out with your wife. kudhibiti hiyo hali ni ujiweke busy na mambo ya maendeleo zaid.
 
Unadhani yeye hajakuchoka???? Wanandoa wengi watoto ndo wanawaunganisha mnagombana leo kesho mnapatanaa maisha yanasongaa.. Kama hamna watoto it easy to fall apart..
 
Mi nadhani ukubwa wa mwili wa mke au niseme mkeo kukuzidi umbo imekufanya usiwe huru hata kutoka nae out.

Lkn pia inawezekana ukubwa wa mwili labda pia umemfanya akawa mzito hasa ktk yale mambo ya chumbani na ndio sababu umejikuta unapenda vimodal.

Siko kwny ndoa ,lakini kulingana na maelezo yako nimejaribu kuwaza hayo boss.
 
Mazingira gani yalikufanya uoe bila kuwa na upendo?!

Nadhani haitasaidia hata ukioa hao hot ladies unaowasema ikifika muda fulani basi nao utawaona hawafai tu
Ni story ndefu mkuu....

Itoshe kusema nilijiaminisha by then nisingeweza pata nilichokua nakitaka na amani kama nisingeoa ila sasa napata mawazo kama sababu zangu za kuingia kwenye ndoa hazikuwa sahiii
 
Unadhani yeye hajakuchoka???? Wanandoa wengi watoto ndo wanawaunganisha mnagombana leo kesho mnapatanaa maisha yanasongaa.. Kama hamna watoto it easy to fall apart..
Ni kweli mkuu

Hata yeye ameshafahamu I'm no longer serious....ila kwa upande wake anajitahidi kutaka mambo yasonge positive ila mimi hiyo drive imekufa kabisa
 
1. Nashukuru umekiri mwenyewe kwamba ulimuoa kutokana na mazingira means nafsini mwako ulikuwa unajua kabisa kwamba humpendi mtoto wa watu.

2. Kama umeweza kuvumilia mpaka sasa mko pamoja ndani ya ndoa kwa miaka mitano na bado hujamsaliti, hii ni dalili kuwa unamuheshimu hasa kutokana na yeye anavyoishi na wewe.

3. Hebu jaribu kuchunguza kwa makini ujue ni vitu gani mwanzoni mlizoea kufanya pamoja kwa furaha, je vitu gani alikuwa anakufanyia kwa sasa havifanyi... Je hii hali imeanza kutokea baada ya tukio gani?

4. Mara nyingi unakuwa na marafiki wa aina gani, je mazingira gani yanayowazunguka kwa sasa...

5. Ukitafakari vizuri haya, utajua mzizi wa tatizo lako ni yeye AU ni wewe mwenyewe, japo ninavyoona mimi, WEWE NDIO TATIZO LENYEWE. Akilini mwako kuna kitu kimejengeka ambacho sio kizuri.
 
Mi nadhani ukubwa wa mwili wa mke au niseme mkeo kukuzidi umbo imekufanya usiwe huru hata kutoka nae out.

Lkn pia inawezekana ukubwa wa mwili labda pia umemfanya akawa mzito hasa ktk yale mambo ya chumbani na ndio sababu umejikuta unapenda vimodal.

Siko kwny ndoa ,lakini kulingana na maelezo yako nimejaribu kuwaza hayo boss.
Kitendo cha kuoa without your willings ndicho kinacho kusumbua kwasasa,labda ulitaraji vitu flani baada ya kuoa lkn umepata vitu vingine.
Ushauri wangu:Jifunze kumpenda wifi angu ,no way
 
Kulingana umri na mwanamme ni changamoto kubwa saana.....akili ya Mwanamke + umbo vinawahi saana kukua kuliko mkaka !!!!! At the same age utakuta mdada akili imeshatanuka anawaza maisha huku mkaka akili bado mdananda
 
Kweli kbs,hata wanasaikolojia wanasema angalau mwanaume ampitr mwanamke miaka 3 na kuendelea,sababu mtt wa kike wa miaka3 akili yake ni sawa na yule wa kiume wa mwaka 1
 
Kitendo cha kuoa without your willings ndicho kinacho kusumbua kwasasa,labda ulitaraji vitu flani baada ya kuoa lkn umepata vitu vingine.
Ushauri wangu:Jifunze kumpenda wifi angu ,no way
Ni kweli kabisa my wife hana shida kubwa

Mzigo uko kwangu nakosa drive ya kumaintain na kuboresha ndoa yangu.

Nimekua naforce kwa muda sasa ila kama ijuavyo vitu vya kufake hiviwi natural

Kifupi mke wangu anajua mabadiliko ninayoyaonyesha ila anashindwa anisaidieje
 
Kitendo cha kuoa without your willings ndicho kinacho kusumbua kwasasa,labda ulitaraji vitu flani baada ya kuoa lkn umepata vitu vingine.
Ushauri wangu:Jifunze kumpenda wifi angu ,no way
Teach me how to love.....hili somo limenishinda.

Nimefake sana but my conscious is in dilema
 
Back
Top Bottom